Featured • Kitaifa RAIS SAMIA ATETA NA AFISA MTENDAJI MKUU SYNGENTA CROP PROTECTION AG,DAVOS NCHINI USWIZI 2 years agoby mzalendoeditor4 Views Written by mzalendoeditor Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa inayojihusisha na kilimo, Syngenta Crop Protection AG Erik Frywald aliyeambatana na ujumbe wake Davos nchini Uswizi. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn