Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KISIWANI PEMBA

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo tarehe 09 Januari 2023. Makamu wa Rais amewasili Kisiwani Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

About the author

mzalendoeditor