Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

grandpashabet

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI MAKAMBA:’KUPATA MIRADI YA REA WAKANDARASI WATAPIMWA KWA UTENDAJI KAZI WAO’

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati January Makamba akihutubia Washiriki katika hafla ya utiaji saini Mikataba ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupeleka Umeme katika Maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (PERI Urban III) kati ya REA na Wakandarasi katika ukumbi wa JNICC, Jijini Dar es Salaam

Wakandarasi wakimsikiliza Waziri wa Nishati January Makamba wakati akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini Mikataba ya Utekelezaji wa Mradi wa kati ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wakandarasi katika ukumbi wa JNICC, Jijini Dar es Salaam

Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakimsikiliza Waziri wa Nishati January Makamba wakati akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini Mikataba ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupeleka Umeme katika Maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (PERI Urban III) kati ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wakandarasi katika ukumbi wa JNICC, Jijini Dar es Salaam

Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Wakimsikiliza Waziri wa Nishati January Makamba wakati akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini Mikataba ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupeleka Umeme katika Maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (PERI Urban III) kati ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wakandarasi katika ukumbi wa JNICC, Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy akisaini mkataba wa REA na Kampuni ya Central Electricals International Ltd kulia kwake ni Meneja wa Kitengo cha Sheria kutoka Wakala wa Nishati Vijijini Bwana Musa Muze akiongoza zoezi hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy akipena mkono na Mwakilishi wa Kampuni ya Central Electricals International Ltd Bwana Akbar Meghji mara baada ya kusaini Mkataba wa Kupeleka Umeme katika Maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (PERI Urban III) katika mkoa wa Singida.

Waziri wa Nishati January Makamba akishuhudia utiaji saini mikataba ya Kupeleka Umeme katika Maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (PERI Urban III) kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy na Mwakilishi wa Kampuni ya DERM Bi. Bridget Temba katika ukumbi wa JNICC, Jijini Dar es Salaam

…………………………………..

WAZIRI January Makamba amesema kuanzia sasa Wakandarasi wa Miradi ya kupeleka umeme vijijini watapimwa kwa utendaji wao (Performance) na si vinginevyo na kuongeza kuwa Wakandarasi ambao utendaji wao ni wa mashaka, wasahau kupata zabuni za Miradi ya REA.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo mchana tarehe 19 Disemba, 2022 na amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijini (REA); Mhandisi Hassan Saidy kutosaini mikataba miwili na Kampuni ya ETDCo kutokana na utendandaji usiolidhisha.

Katika maelezo yake; Waziri Makamba amesema Kampuni ya ETDCo imeonyesha udhaifu mkubwa kwenye utekelezaji wa miradi kadhaa ya kupeleka nishati vijijini ambapo ametoa mfano kwenye mkoa wa Mbeya; Kampuni hiyo kwenye mradi mmoja imefanya kazi kwa asilimi 28 tu hadi sasa.

“ETDCo leo hakuna kusaini mkataba wa Mradi wa PERI Urban III, nendeni kwanza mkakamilishe kazi mkoani Mbeya na Katavi, nimeona kwenye Mradi wa PERI Urban mmeshinda zabuni ya mkoa wa Kigoma na Geita na kazi zote hizo zina thamani ya shilingi bilioni 18.”

“Hii si sawa na mmeshindwa kutekeleza miradi kwa wakati, mfano mkoani Katavi kwa kazi ile mlitakiwa hadi sasa walau mngekuwa mmefika asilimia 81 ya utekelezaji lakini bado utekelezaji upo chini.” Amesisitiza Waziri Makamba.

Wakati huo huo, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini Mkataba wa PERI Ubani Awamu ya Tatu. Mradi huo una lengo la kupeleka umeme katika maeneo ya pembezoni mwa miji. Mikoa ambayo imelengwa ni pamoja na Geita, Mtwara, Mbeya, Tabora, Tanga Singida, Kigoma ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA); Mhandisi Hassan Saidy alisaini mikataba kwa niaba ya Serikali na Watendaji wa Kampuni nne katika ukumbi wa Mikumi katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha Julius Nyarere, Jijini Dar es Salaam.

Kampuni hizo ni pamoja na Central Electricals International Ltd, DERM Electrics (T) Ltd, OK Electrical & Electronics Services Ltd na DIEYNEM Co Ltd.

About the author

Alex Sonna