Featured • Kitaifa RAIS SAMIA ATETA NA WANANCHI WA WILAYA YA CHEMBA 2 years agoby mzalendoeditor24 Views Written by mzalendoeditor Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Chemba alipokuwa njiani akirejea Chamwino Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn