Featured • Michezo • Uncategorized NABI KOCHA BORA OKTOBA 2 years agoby mzalendoeditor21 Views Written by mzalendoeditor Kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara wa mwezi Oktoba. Nabi alishinda mechi 3 (Ruvu Shooting 2-1, KMC 1-0, Geita Gold( 0-1) na kutoka sare dhidi ya Simba. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn