Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA SPIKA WA BUNGE LA CHINA, BEIJING NCHINI CHINA

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Li Zhanshu Beijing nchini China.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Li Zhanshu, Beijing nchini China. 

About the author

mzalendoeditor