Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profsa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika Bungeni jijini Dodoma, Novemba 4, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor