Featured Michezo

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KILIMANJARO MARATHON

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga king’ora kuanzisha Mbio za Kilomita 42 katika maadhimisho ya  miaka 20 ya Kilimanjaro Marathon kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika  Moshi, Februari 27, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (BL)  ambao ndiyo wadhimini wakuu wa maadhimisho hayo, Jose D Moran. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriiki katika mbio za Kilimanjaro Marathon baada ya kuzianzisha kwenye uwanja wa Chuo cha  Ushirika mini Moshi, Februari 27, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor