Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA MWANZA – ISAKA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kipande cha reli cha majaribio wakati alipokagua  maendeleo ya Ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),  Amina Lumuli. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. 

Baadhi ya wananchi na viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati  alipozungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kipande cha reli cha majaribio wakati alipokagua  maendeleo ya Ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),  Amina Lumuli. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha mbalimbali zinazoonyesha miundombinu  itakayojengwa katika kiapnde cha reli ya kisasa (SGR) cha Mwanza – Isaka wakati alipokagua maendeleo ya Ujenzi wa reli hiyo katika Stesheni ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. 

Muonekano wa eneo katika Stesheni ya  Fela kwenye  ujenzi unaoendelea wa kipande cha reli ya Kisasa ( SGR) cha Mwanza Isaka ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua Ujenzi wake,   Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

About the author

mzalendoeditor