Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

lisanslı casino siteleri

jojobet

holiganbet

holiganbet

betpark

maxwin

jojobet

marsbahis

ultrabet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

jojobet giriş

jojobet

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA:’WAHADHIRI VYUO VIKUU NCHINI ONGEZENI  MACHAPISHO YA TAFITI ZENU MTAMBULIKE ULIMWENGUNI

Written by Alex Sonna
WADAU mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda,wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.
……………………………
Na Alex Sonna-DODOMA
SERIKALI imewataka Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini kuongeza machapisho ya tafiti katika majarida makubwa duniani ili waweze kutambulika ulimwenguni kama watafiti wabobezi.
Hayo yamesemwa leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 25,2022 jijini Dodoma.
Prof.Mkenda amesema kuwa kwa sasa wahadhiri wengi wanaogopa sana kufanya tafiti hasa zile za kisayansi.
“Hatutaweza kwenda kwenye maeneo yote kwa wakati mmoja tunataka tuanze na utafiti wa elimu tiba,sasa hivi watu wanaogopa kufanya utafiti wa muda mrefu kutokana na ufinyu wa bajeti hivyo kwa kulitatua hilo tumetenga bilioni Moja ambapo Kila mtafiti atakayekidhi vigezo atapata Shilingi milioni 50,”amesema Mkenda
Prof.Mkenda amesema ulimwengu wa sasa hauwezi kuepukana na masuala ya sayansi na Teknolojia hivyo kutaka wadau wote kuchochea udadisi na ubunifu kwa watoto ili baadae waweze kuajirika na kujiajiri.
“Tunataka kuvutia vijana wenye uwezo mkubwa wasome masomo ya sayansi na ili tufanikiwe katika hilo lazima tuwekeze katika elimu kwa kufuata misingi ya sayansi,ubunifu na Teknolojia,”amesisitiza Mkenda
Hata hivyo  Prof.Mkenda amesema kuwa wizara hiyo ipo mbioni kutambulisha mpango wa ufadhili wa masomo wa “Samia Scholarship”kwa wanafunzi bora 600 waliofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi.
“Tutatangaza hivi karibuni kitu kinachoitwa SAMIA SCHOLARSHIP kwa ajili ya wanafunzi waliofanya vizuri masomo ya sayansi katika kidato cha sita na kwenda kusoma masomo hayo chuo kikuu; lengo ni kuongeza idadi ya vijana watakaopenda kusoma masomo ya sayansi,” amesema Prof. Mkenda.
Aidha Waziri Mkenda amelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) pamoja na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kuwezesha kufanyika mkutano huo huku akiwataka wadau  walioshiriki kikao na wasioshiriki kuendelea kutoa maoni kupitia majukwaa yatakayowekwa.
  
“Nitoe wito hata kwa wale ambao hawapo hapa kuendelea kutoa maoni kupitia platforms zitakazowekwa. Tunapenda tukishaweka Sera basi idumu isibadilishwe mara kwa mara na tunaahidi kuzingatia maoni yenu yote mliyotoa na ambayo mtaendelea kuyatoa,” amesema Waziri Mkenda.
Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Aloyce Kamamba ameiomba serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuyafanyia kazi maoni ya wadau pamoja na kuzichukua,kuzitambua,kuzifadhili na kuziendeleza bunifu zinazobuniwa.
Pia amesema kuwa mawazo yaliyotolewa na wadau yasibakie katika makaratasi yafanyiwe kazi ili kutatua changamoto zilizopo katika jamii kupitia Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.
” Sera hizi zisibakie tu kuwa zimeandikwa kwenye makaratasi kwani mkutano huu wa wadau utakuwa umefanyika bure kwani lengo kubwa ni kutaka kuona ni namna gani sayansi,teknolojia na ubunifu inakwenda kutatua changamoto zilizopo kwenye jamii,”Amesema Kimamba
Naye Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu Prof.Maulilio Kipanyula, amesema kuwa wamepokea maoni kutoka kwa wadau kuhusiana na kuhuisha rasimu ya Sera ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu na kuahidi kwenda kuyafanyia kazi.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.
WADAU mbalimbali wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda,wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu Prof.Maulilio Kipanyula,akielezea malengo ya Mkutano huo wakati wa Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Aloyce Kamamba,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt. Amos Nungu,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa wadau wa kupokea maoni kuhusu Sera ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu na Kiunzi Cha Uratibu wa Ubunifu nchini,ulioandaliwa na Wizara hiyo, Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni (UNESCO) leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna