Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

SERIKALI YATOA MAAGIZO VYUO BINAFSI VYA USTAWI WA JAMII NGAZI YA CHETI

Written by Alex Sonna

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Patrick Golwike akizungumza katika kikao kazi kati ya Wizara hiyo na Wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kilichofanyika jijini Dodoma 

Mwakilishi wa Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Lomito Mollel akielezea lengo la kikao kazi kati ya Wizara na Wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kilichofanyika jijini Dodoma

Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii kutoka Chuo cha Agya Eliseray kilichopo mkoani Tanga Charles Mselema akizungumza katika kikao kazi kati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kilichofanyika jijini Dodoma

Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Grace Chenya akifafanua jambo wakati wa kikao kazi kati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kilichofanyika jijini Dodoma 

Baadhi ya wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada wakiwa katika kikao kazi kati yao na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuweka utaratibu wa pamoja wa kuwa na mitaala linganifu ya kitaifa ya kozi ya ustawi wa jamii

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Mallum Patrick Golwike katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada mara baada ya kufungua kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 11, 2022.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

…………………………………………………

Na WMJJWM Dodoma

Serikali imevitaka Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada nchini kushirikiana katika kuhakikisha kunakuwa na Mitaala linganifu ya uendeshaji wa kozi ya Ustawi wa Jamii ili kuwa na wataalam wenye umahiri na viwango vinavyohitajika.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma leo Agosti 11, 2022 na  Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Patrick Golwike wakati wa kikao kazi kati ya Wizara hiyo na Wakuu wa Vyuo Binafsi vya Taaluma ya Ustawi wa Jamii kwa ngazi ya Astashahada na Diploma.

Golwike amesema ili kutatua changamoto hizo wizara ilitengeneza Mitaala linganifu ya kitaifa (National Standardized Curricula) pamoja na nyenzo zake za kufundishia kozi ya ustawi wa jamii ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa nchi nzima hivyo eneo pekee lililokuwa limebaki ni kuanzishwa kwa mfumo wa mitihani ya pamoja (Centralized examination system) ili kutahini wanafunzi kwa ubora na viwango sawa.

Ameongeza kwamba baadhi ya changamoto zinazokabili utoaji wa Taaluma hiyo ni pamoja na vyuo kuendesha mafunzo ya kozi hiyo kwa kuiga uzoefu wa mfumo wa Kozi za afya kwa baadhi ya maeneo bila kujali mahitaji ya Mitaala na utofauti wa kada ya ustawi wa jamii na kada ya afya, baadhi ya vyuo kutokuwa na wakufunzi wa kutosha, kuendesha mafunzo kwa kutumia walimu ambao hawana sifa za kufundisha kozi ya ustawi wa jamii kama vile wauguzi, maendeleo ya jamii, walimu wa sekondari kinyume na matakwa ya mitaala pamoja na kutunga mitihani ambayo haina viwango vya kuweza kupima weledi na umahili wa wahitimu.

“Hali hii imeathiri kwa kiwango kikubwa ubora wa mafunzo ya ustawi wa jamii na kutoa rasilimali watu isiyokuwa na weledi na maarifa stahiki hivyo tukiweka utaratibu mzuri tutamaliza changamoto hizi na kuwa na Vyuo vinavyotoa wataalamu mahiri“ alisema Golwike

Aidha alisema Wizara katika kuendelea kutekeleza jukumu lake la kuhakikisha nchi inapata wataalamu wenye weledi na umahiri unaotakiwa, imevikumbusha vyuo kuendesha mafunzo hayo kwa kufuata taratibu na matakwa ya mitaala husika huku Wizara ikiendelea kuandaa utaratibu uliokuwa ukisubiriwa wa kuwa na mitihani ya pamoja ili kupunguza kama siyo kuondoa kabisa mapungufu yaliyojitokeza.

Awali akimkaribisha Mgeni Rasmi kuzungumza katika kikao kazi hicho Mwakilishi wa Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Lomito Mollel alisema lengo la kikao kazi hicho ni kujadili namna ya kusadia uboreshaji wa mitaala ili kuhakikisha taaluma ya ustawi wa jamii itatoa wataalam mahiri na bora.

Naye mmoja wa wakuu wa Vyuo hao kutoka Chuo cha Afya Eliseray kilichopo mkoani Tanga Charles Mselema alisema Vyuo hivyo vitaendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha vinatoa wataalamu mahiri na bora wa Ustawi wa Jamii ili kusaidia kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa Wataalam hao katika jamii ambao ni chachu ya ustawi na maendeleo ya jamii.

About the author

Alex Sonna