marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

parmabet giriş

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

Featured Kitaifa

WALENGWA WA TASAF MOROGORO WAWEZESHWA KUENDESHA MRADI WA KUZALISHA FUNZA CHUMA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA KIPATO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa Viongozi wa Manispaa ya Morogoro wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua mradi wa kuzalisha funza chuma, unaotekelezwa na walengwa wa TASAF wa Kikundi cha Faraja kilichopo katika Kata ya Mazimbu, Mtaa wa Mazimbu Darajani, Manispaa ya Morogoro.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Manispaa ya Morogoro na walengwa wa TASAF wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua mradi wa kuzalisha funza chuma, unaotekelezwa na walengwa wa TASAF wa Kikundi cha Faraja kilichopo katika Kata ya Mazimbu, Mtaa wa Mazimbu Darajani, Manispaa ya Morogoro.

Mlengwa wa TASAF wa Kikundi cha Faraja, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro kinachojishughulisha na mradi wa kuzalisha funza chuma, akionyesha namna wanavyotekeleza mradi huo wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama iliyolenga kukagua mradi huo katika Manispaa ya Morogoro.

**************************

Na. James K. Mwanamyoto-Morogoro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema walengwa wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini Manispaa ya Morogoro unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wamewezeshwa kuendesha mradi wa funza chuma kwa ajili ya kuzalisha chakula cha mifugo ambacho kinawaongezea kipato na kutatua changamoto ya upatikanaji wa chakula cha mifugo.

Mhe. Jenista amesema hayo, mara baada ya kukagua mradi wa kuzalisha funza chuma, unaotekelezwa na walengwa wa TASAF wa kikundi cha faraja kilichopo katika Kata ya Mazimbu, Mtaa wa Mazimbu Darajani Manispaa ya Morogoro.

Mhe. Jenista amesema, kumekuwa na shida ya upatikanaji wa chakula cha mifugo hivyo mradi huo unaotumia teknolojia rahisi kuzalisha funza chuma kwa ajili ya chakula cha mifugo utatatua changamoto ya upatikanaji wa chakula cha mifugo kama ng’ombe, mbuzi, kuku, kondoo, samaki, bata na nguruwe.

“Mmesema hapa kupitia taarifa yenu kuwa, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kimefanya utafiti na kubaini kuwa funza chuma ni chakula kizuri cha mifugo kuliko vyakula vingine ambavyo vimekuwa vikitumika kulisha mifugo hivyo mradi huu ni mzuri na wa kimkakati ambao unapaswa kuendelezwa,” Mhe. Jenista amesisitiza.

Mhe. Jenista ameongeza kuwa, mradi huo utasaidia kuhifadhi mazingira na kutatua changamoto ya uchafu wa mazingira katika masoko kwani badala ya takataka kutupwa hovyo ndani ya masoko, zitachukuliwa ili kuzalisha chakula cha mifugo na kuacha masoko yakiwa safi.

“Huu mradi ni suluhisho kubwa sana la changamoto ya uchumi, uchafu wa mazingira na suala la ajira kwa makundi yote ya akina mama, vijana na wenye ulemavu na walengwa wa TASAF, kwani ni mradi fungamanishi wenye faida nyingi,” Mhe. Jenista amefafanua.

Kwa upande wake, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga amemshukuru Mhe. Jenista kwa kufanya ziara katika mradi huo wa funza chuma ambao una faida kubwa katika jamii, kwani utasaidia manispaa yake kuwa na mazingira safi na kuboresha maisha ya wananchi kwa kuwaongezea kipato.

Kutokana na faida ya uwepo wa mradi huo, Mhe. Kihanga amemhakikishia Mhe. Jenista kuwa, manispaa yake itawatumia Wahandisi waliopo kuwajengea walengwa wa TASAF na wananchi wengine vizimba vya kufuga funza chuma ili waweze kuzalisha kwa wingi chakula cha mifugo ambacho kitawaongezea kipato.

About the author

Alex Sonna