Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUENDELEZA MIRADI YA MAENDELEO-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Ikungi, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Singida. Agosti 5, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

****************************

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuendelea kutolewa fedha kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ya wananchi wakiwemo na wakazi wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Agosti 05, 2022) alipozungumza na wananchi baada ya kutembelea mradi wa ujenzi kituo cha afya cha Iglansoni akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi.

Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuhakikisha huduma za jamii zinazotolewa nchini zinakuwa endelevu, hivyo amewataka wananchi hao waendelee kuiamini na kuipa ushirikiano.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde amesema kituo cha afya cha Iglansoni ni miongoni mwa vituo vya afya 234 vinavyojengwa nchi nzima kwa lengo la kusogeza huduma za afya kwa wananchi.

Amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 1.9 kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa hospitali ya kisasa katika wilaya hiyo. “Mbali na Serikali kutoa fedha hizo pia, Mheshimiwa Rais Samia ameridhia shilingi bilioni 13.348 zitumike kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 667, Ikungi.”

Naye, Mkuu wa mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema anataka mkoa huo uwe wa kwanza kwa wananchi wote kuwa na bima ya afya ili wawe na uhakika wa kupata huduma hiyo, hivyo amewahamasisha wajiunge Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).

Pia, Mkuu huyo wa mkoa ametumia fursa hiyo kuendelea kuwahamasisha wananchi kushiriki kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, ambayo inatarajiwa kufanyika nchini Agosti 23 mwaka huu.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Murro amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuridhia kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani humo zikiwemo shilingi bilioni mbili kwa ajili ya ujenzi wa vituo vinne vya afya ili kusogeza huduma kwa wananchi.

Mkuu huyo wa wilaya ameahidi kwamba ataendelea kushirikiana na viongozi wenzake ndani ya wilaya hiyo kuhakikisha fedha zote za maendeleo zinazotolewa na Serikali zinatumika katika utekelezaji wa miradi husika ili tija iliyokusudiwa ipatikane.

Awali, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Justice Kijazi amesema ujenzi wa kituo hicho cha afya cha Iglansoni kinachotarajia kuanza kutoa huduma mwishoni mwa mwezi huu umefikia asilimia 98 na umegharimu shilingi milioni 500.

Amesema kituo hicho kinatarajia kuwahudumia wakazi 13,608 wa vijiji vya Iglansoni na Mnyange. Mradi huo unahusisha ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje, maabara, kichomea taka, jengo la upasuaji, wodi ya mama na mtoto na jengo la kufulia.

Baada ya kukagua ujenzi wa kituo hicho cha afya, Waziri Mkuu alitembelea mradi ya ujenzi wa chuo cha VETA na mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Ikungi, ambako kote aliweka mawe ya msingi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, baadhi ya wakazi Wilaya ya Ikungi wamempongeza na kumshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuwasogezea huduma mbalimbali za kijamii zikiwemo za afya, elimu na maji karibu na makazi yao.

 

About the author

Alex Sonna