Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA MKURUGENZI MKUU WA CDC

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi zawadi ya picha ya wanyama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky, alipokutana nae Ofisini  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor