Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed wakiingia katika Ukumbi wa Mikutano  katika Ofisi ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kupokea taarifa  ya Utekelezaji kazi za maendeleo, akiwa katika  ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo  Wilaya ya Kaskazini ”A”(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuingia katika Ukumbi wa Mikutano  katika Ofisi ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kupoka taarifa ya Utekelezaji kazi akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo  Wilaya ya Kaskazini ”A”(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud na Mhe.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed.

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisiiliza Taarifa  ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini iliyosomwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo. pichani)kabla ya kuanza ziara sake kwa kutembelea miradi mbali mbali  ya maendeleo Wilaya ya Kaskazini”A”Unguja.[

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisiiliza Taarifa  ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini iliyosomwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo. pichani)kabla ya kuanza ziara sake kwa kutembelea miradi mbali mbali  ya maendeleo Wilaya ya Kaskazini”A”Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini UngujaMhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (wa pili kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ  Masoud Ali Mohamed (kushoto) mara baada ya kuwasili katika hafla ya kuzindua  kituo cha  Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo  kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo  kutembelea miradi mbali mbali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua kituo cha  Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo  kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo  kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ  Masoud Ali Mohamed.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipanda mti wa Muembe wa boribo Muyuni kama kumbu kumbu yake katika uzinduzi wa kituo cha  Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo  kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo  kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na  Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa kituo cha  Wajasiriamali wa Pale Kiongele kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo  kupitia mkopo wa UVIKO 19, alipofanya  ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo  kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo .[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor