Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

KASEKENYA AIAGIZA TBA KUKAMILISHA JENGO LA MAMA NA MTOTO MWEZI MACHI MWAKA HUU

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, akizungumza na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dkt. Thomas Rutachuzibwa, wakati akitoka kukagua ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto katika hospital ya Rufaa ya Mkoa – Sekou Toure linalotekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mkoani Mwanza.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), mkoa wa Mwanza Eng. Moses Urio, alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa  – Sekou Toure linalotekelezwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mkoani Mwanza.

Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), mkoa wa Mwanza Eng. Moses Urio, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, wakati alipokagua maendeleo yaliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa  – Sekou Toure linalotekelezwa na Wakala huo, mkoani humo.

Muonekano wa nje ya jengo jipya la Mama na Mtoto katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa – Sekou Toure linalojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambao ujenzi wake umefikia asilimia 94. Jengo hilo linagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 10.1 na kutarajiwa kuanza kutumia mwezi Machi, 2022.

PICHA NA WUU

……………………………………………………………..

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya, ameiagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kukamilisha kazi za ujenzi wa jengo la mama na mtoto na kukabidhi jengo hilo kwa Wizara ya Afya ifikapo tarehe 20 Machi, 2022 ili kuboresha huduma ya afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza – Sekou Toure.

Eng. Kasekenya ameyasema hayo mkoani Mwanza wakati akikagua maendeleo ya utekelezaji wa jengo hilo ambao umefikia asilimia 94 ya kazi zote na kuridhishwa na kasi ya ujenzi na ubora wa jengo hilo.

“Hakikisheni inapofika tarehe hiyo muwe mmekamilisha kazi zote na kukabidhi Wizara ya Afya ili Wizara wahamishie huduma na wagonjwa katika jengo hili na kuruhusu ujenzi wa majengo mengine katika hospitali hii kuendelea”, amesisitiza Kasekenya.

Eng. Kasekenya ameipongeza TBA kwa kutekeleza mradi huo wenye sakafu sita kwa mfumo wa buni-jenga na kukamilisha kwa viwango vya ubora unaoendana na thamani ya fedha ya mradi.

Aidha, amewataka pia wateja wa Wakala huo kulipa kwa wakati pindi Wakala  unapotekeleza miradi yao ili kutokwamisha utelezaji wa miradi mingine na miradi kuchukua muda mrefu kukamilika.

Naibu Waziri huyo ameeleza kuwa mradi wa jengo hilo utakapomilika utaboresha huduma ya afya kwa wananchi hususani akina mama na watoto wa Mwanza na mikoa jirani, msongamano kwa wagonjwa uliopo sasa ambapo jengo litakuwa na uwezo wa kutoa huduma kwa vitanda 261 na pia utapunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua kwa kiasi kikubwa.

Naye, Kaimu Meneja wa TBA mkoa wa Mwanza, Eng. Moses Urio, ameahidi kukamilisha kazi zilizobaki za ujenzi mapema iwezekanavyo na kukabidhi kwa muda uliopangwa na kwa kwa kuzingatia ubora.

Kwa upande wake Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Thomas Rutachuzibwa, amemueleza Naibu Waziri huyo kuwa maandalizi yapo tayari kwa ajili ya kuhamisha huduma katika jengo hilo jipya watakalokabidhiwa na hivyo kusaidia kuendelea na maboresho ya majengo mengine mapya katika hospitali ya rufaa ya mkoa Sekou Toure.

Jengo la Mama na Mtoto likikamilika litakuwa na jumla ya vitanda 261, vyumba viwili vya upasuaji, vyumba vya matazamio baada ya upasuaji, vyumba vya kujifungulia, wodi za watoto chini ya mwezi mmoja na chini ya umri wa miaka mitano, vyumba vya madaktari, vyumba vya kubadirishia nguo, ofisi za viongozi na Mapokezi.

About the author

Alex Sonna