Featured • Kitaifa SPIKA DK.TULIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 51 SADC PF NCHINI MALAWI 2 years agoby mzalendoeditor17 Views Written by mzalendoeditor Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameondoka nchini leo Julai 10, 2022 kuelekea Lilongwe, Malawi kushiriki Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Kibunge la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC PF) FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn