Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma,

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka   (kulia) na Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai  (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi  (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Dkt. Jasson  Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 29, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor