Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA KUWAAGA MAHUJAJI WATARAJIWA WA ZANZIBAR MASJID JAMIU ZINJIBAR MAZIZINI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

BAADHI ya Mahujaji Watarajiwa  wa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwaaga wakijianda kuelekea Nchi Saudi Arabia ( Makka) kwa ajili ya kutimiza nguzo Tano ya Kiislam ya Ibaada ya Hija, hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwaaga Mahujaji Watarajiwa wa Zanzibar wanaotarajiwa kuondoa Nchini hivi karibuni kuelekea Nchini Saudi Arabia (Makka) kwa ajili ya kutimiza nguzo Tano ya Kiislamu kwa Ibada ya Hija, hafla hiyo ya kuwaaga iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) baada ya kumaliza kuzungumza na kuwaaga Mahujaji Wataraji wanaojiendaa kuelekea Nchini Saudi Arabia (Makka) kwa ajili ya Hija, hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo 18-6-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Katiba Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuwaaga baadhi ya Mahujaji Watarajiwa wa Zanzibar wanaotarajiwa kuondoka Nchi wiki ijayo kuelekea Nchini Saudi Arabia (Makka) kwa ajili ya Hija, hafla hiyo ya kuwaaga iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo 18-6-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor