Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

PROF.NOMBO ATAKA ELIMU IZALISHE UJUZI UNAOHITAJIKA KWENYE SOKO LA AJIRA

Written by Alex Sonna
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,akizungumza wakati akifungua kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo leo Julai 13,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda.

Naibu Katibu  Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Prof. Daniel Mushi,akizungumza wakati wa  kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo leo Julai 13,2026 jijini Dodoma.
  
Sehemu ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo,(hayupo pichani)  wakati akifungua kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo leo Julai 13,2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ametoa maagizo matano kwa viongozi na watumishi wa sekta ya elimu nchini ili kuhakikisha sekta hiyo inaendana na mahitaji ya maendeleo ya taifa na mabadiliko ya dunia.

Prof.Nombo ametoa maagizo hayo leo Julai 13,2026 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha mwaka cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya wizara hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda.

Amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya elimu yametokana na ushirikiano na utendaji mzuri wa viongozi na watumishi wa wizara pamoja na taasisi zake, huku akisisitiza kuwa kikao hicho ni fursa muhimu ya kutathmini mafanikio na kupanga mwelekeo wa sekta kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
“Ndiyo maana tumeona ni muhimu kuwashirikisha wataalamu kutoka Tume ya Mipango ili kutusaidia kuona namna sekta ya elimu itakavyochangia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Tunaamini dira hiyo ndiyo itakayotuongoza katika kukidhi mahitaji ya taifa kwa miaka ijayo,” amesema Prof.Nombo
Prof.Nombo ameelekeza mapitio ya mara kwa mara ya kozi na programu za elimu ili ziendane na mahitaji ya sasa ya jamii, uchumi na soko la ajira. Amesema mjadala unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu uchaguzi wa kozi kwa wahitimu wa kidato cha sita unaonesha wazi kuwa kuna mahitaji mapya ya ujuzi na taaluma yanayopaswa kuzingatiwa.
“Mrejesho tunaoupata unatufanya tujitathmini na kuangalia aina ya kozi tunazotoa ili ziendane na mahitaji ya sasa ya jamii na uchumi. Tunahitaji kuongeza ubunifu na unyumbufu katika kuwapa wanafunzi fursa ya kusoma kozi zitakazochangia maendeleo ya taifa,” amesema 
Kuhusu Mfumo wa Taarifa za Usimamizi wa Elimu (ESMIS), Prof.Nombo amesisitiza umuhimu wa kuwa na takwimu sahihi kwa ajili ya kufanya maamuzi yenye tija na kuagiza taasisi zote kuhakikisha mifumo yao ya TEHAMA inaunganishwa na mfumo huo.
Amesema hatua hiyo inatekeleza maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha mifumo ya Serikali inasomana na kufanya kazi kwa pamoja, akibainisha kuwa wizara imeweka suala hilo kuwa kipaumbele.
Aidha, amehimiza kuongeza ushiriki wa sekta binafsi katika uwekezaji wa sekta ya elimu ili kuboresha huduma na miundombinu, pamoja na kutafuta mbinu mbadala za kugharamia sekta hiyo ili kuongeza fursa za wanafunzi wengi zaidi kuendelea na masomo.
Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi, amewataka washiriki wa kikao kuendelea kueleza mafanikio yanayopatikana kupitia utekelezaji wa miradi na programu mbalimbali za Serikali katika sekta ya elimu.
“Hatupaswi kusita kueleza mazuri ambayo Serikali inaendelea kuyafanya kwa wananchi kwa pamoja tunaweza kuijenga sekta ya elimu yenye ushindani, ubora na tija kwa maendeleo ya taifa,” amesema  Prof Mushi
Naye Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu na Mafunzo ya Uf7ndi Stadi Dkt. Hussein Mohammed Omar amesema kuwa Wizara imekutana kwa lengo la kujipanga na utekelezaji wa Mwaka wa Fedha 2026/27 kuwezesha kuwa na mwelekeo wa pamoja katika kufikia lengo kuu la kuwa na elimu bora
Katika kikao hicho, washiriki wamepokea na kujadili mawasilisho mbalimbali ikiwemo nafasi ya elimu, sayansi na teknolojia katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, umuhimu wa mifumo ya TEHAMA katika kuongeza ufanisi wa utoaji huduma.
Vilevile,matumizi ya mfumo wa ESMIS, pamoja na Mpango Mkakati wa Wizara wa mwaka 2026/27 hadi 2030/31 na utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2026/27.

About the author

Alex Sonna