Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATEMBELEA KITUO CHA SARATANI CHA DAR AL HANAN,MUSCAT NCHINI OMAN

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman wakati alipotembelea Kituo hicho tarehe 13 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.

About the author

mzalendoeditor