Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA AWALI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILI IKULU CHAMWINO DODOMA

Written by mzalendoeditor

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) kwenye Hafla iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Wananchi  kwenye Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Wawekezaji mara baada ya Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Awali wa Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (Liquefied Natural Gas – LNG Project) iliyofanyika tarehe 11 Juni 2022 Ikulu, Chamwino Dodoma.

About the author

mzalendoeditor