Featured • Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA MHE. JOHN MALECELA

Written by Alex Sonna

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Samwel Malecela katika makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo tarehe 13 Mei 2026.

About the author

Alex Sonna