Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

MABORESHO YA MAPANGO YA AMBONI KUIUNGANISHA TANGA NA ZANZIBAR KIUTALII

Written by Alex Sonna

Mkuu
wa Kanda wa Hifadhi ya Mapango ya Amboni
Mecksadeck Mwambungu akizungumza wakati wa Semina kwa waandishi wa
habari
iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kushoto ni Mwenyekiti
wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga (TPC) Lulu George
akifuatiwa na Kaimu Meneja  Uhusiano wa Umma NCAA Joyce Mgaya
Kaimu
Meneja Uhusiano wa
Umma wa  Mamlaka  NCAA Joyce Mgaya akizungumza wakati wa semina hiyo
kulia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga (TPC)
Lulu George na Mkuu wa Kanda wa Hifadhi ya Mapango ya Amboni
Mecksadeck Mwambungu
Kaimu
Meneja Uhusiano wa
Umma (NCAA) Joyce Mgaya akizungumza wakati wa semina hiyo kulia ni
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga (TPC) Lulu
George na Mkuu wa Kanda wa Hifadhi ya Mapango ya Amboni
Mecksadeck Mwambungu

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga (TPC) Lulu
George akitoa neno wakati wa semina hiyo kushoto ni Kaimu
Meneja Uhusiano wa Umma wa NCAA Joyce Mgaya kulia ni Mkuu wa Kanda wa Hifadhi ya Mapango ya Amboni
Mecksadeck Mwambungu

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga Burhan Yakub akiuliza jambo wakati wa semina hiyo
Mwandishi wa habari wa Kituo cha ITV na Radio One Mkoa wa Tanga Wiliam Mngazija akiuliza swali katika semina hiyo

Sehemu ya washiriki kwenye semina hiyo

Sehemu ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia matukio mbalimbali

Sehemu ya washiriki kwenye semina hiyo

NA OSCAR ASSENGA, TANGA.

MAMLAKA
ya Hifadhi ya Ngorogoro (NCAA) imeanza mkakati kabambe kwa kuleta
Mapinduzi Makubwa ya kiutalii katika Mkoa wa Tanga kupitia Mapango ya
Amboni baada ya kueleza dhamira yao ya kutaka kuunganisha utalii
unaofanyika kwenye mapango ya Amboni na Visiwani Zanzibar.
Mkakati
huo ulitangazwa na Mkuu wa Kanda wa Hifadhi ya Mapango ya Amboni
Mecksadeck Mwambungu wakati wa Semina kwa waandishi wa habari
iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Mwambunhu
ambaye pia ni Afisa Malikale Amboni kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro alisema mkakati huo unakwenda sambamba na kuhakikisha
wanafanikisha upatikanaji wa boti ya watalii wanaotoka zanzibar
iliwaweze kukaa amboni kwa muda kidogo.
“Kwa
kweli mkakati wetu ni kuhakikisha tunaunganisha utalii unaofanywa
mapango hayo na Visiwani Zanzibar na tunakusudia kuhakikisha
tunafanikisha upatikanaji wa boti kwa lengo la kuwawezesha wakija kwenye
mapango hayo wanakaa muda mrefu”Alisema
Bw.
Mwambungu ameongeza kuwa NCAA wanamkakati wa kuanzisha utalii wa
Boarder(mpakani) kwani kuna watu wanatamani kufika Kenya na hawajui
watafikaje na kutoka Horohoro mpaka Amboni ni Kilomita 60 hivyo 
wanataka kuweka mpango wa kuweka utaratibu mzuri wa kuwawezesha kufika
na kufurahia utalii.
“Lakini
tatu tunataka kuangalia vivutio vya vilivyopo jirani na Tanga tuweze
kuviinua vikiwemo Marine Park na eneo la Maji Moto tunaamini tukiviinu
vizuri vitaleta tija kubwa”Alisema 
Hata
hivyo alisema suala lingine ambalo wanalifikiria ni kutaka kuhakikisha
kwamba wanaongeza idadi ya watalii kwenye eneo la Mapango ya Amboni na
wanaamini kutokana na mikakati walioweka utafanikiwa.
“Kwa
sasa tunapokea watalii karibia 1000 mpaka 2000 wengi ni wenyeji na
wageni ni wachache sana hivyo tunaamini kutokana na maboresho
yaliyofanyika ya miundombinu itakuwa ni fursa nzuri kwao kuweza kuongeza
idadi hiyo “Alisema
Hata
hivyo alisema kwamba mpango wao waliokuwa nao kwa sasa ni kuanzisha
ulipaji kwa njia ya mtandao na mahitaji muhimu kwa watalii ambapo
wanaamini utakuwa na manufaa makubwa.
Awali
akizungumza wakati wa semina hiyo Kaimu Meneja  Uhusiano wa Umma wa
NCAA, Joyce Mgaya alisema eneo la Mapango ya Amboni limekuwa na
simulizi nzuri na ya kuvutia kutokana na kwamba ndani ya mapango kuna
eneo ambalo watu wanafanya ibada wa imani tatu tofauti kwa wakati mmoja
na wanaweza kuabudu na kuamini sawa kwamba wakienda hapo wanafanya ibada
na kuaminiana
“Hivi
sasa kuna utandazawazi mkubwa baadhi tunapoteza hamasa ya kupenda
simulizi zetu au kupenda vya kwetu na badala yake tunathamini simulizi
za nje ..nadhani kwenye mapango kuna mtu anasafiri kutoka nje ya nchi
anakuja kufanya tambiko na kuondoka”Alisema
Hata
hivyo alisema kwamba wanafikiria kuweka kitanda kwenye mapango ili watu
wanaokwenda kutalii eneo hilo waweze kupata eneo la kupumzika usiku na
kuweza kusikilizia usiku kunakuwaje.

About the author

Alex Sonna