SPIKA
wa Bunge Tulia Ackson akizungumza Bungeni wakati wa Timu ya wanawake ya
soka chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls) ilipowasili bungeni
Na John Mapepele
Timu
ya wanawake ya soka chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls)
imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kupewa heshima na Bunge la
Jamhuri ya Muungano kuingia na kukaa kwenye viti vya mawaziri ndani ya
bunge baada ya kufuzu kuingia mashindano ya dunia ikiwa ni heshima ya
mashujaa wa Taifa kwa kazi kubwa iliyoifanya ambapo kesho ni zamu ya
Timu ya soka ya Taifa ya Walemavu ya (Tembo Warriors) ambayo pia
imefuzu mashindano ya dunia ya soka kwa walemavu.

Akiongea
mara baada ya kuketi eneo hilo rasmi la mawaziri, Waziri mwenye
dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Mohamed Mchengerwa amesema ushindi huo
unatokana na jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuiwezesha timu
hiyo katika kipindi chote cha maandalizi wa mashindano hayo.

“Namshukuru
Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania. Mhe, Samia Suluhu Hassan kwa
kutuwezesha, kututia moyo na kutufuatilia kwa karibu sana katika kipindi
chote” amefafanua Mhe. Mchengerwa.

Aidha,
amesema Serikali itahakikisha inaendelea kuisaidia timu hiyo ili iweze
kwenda na kushinda kwenye mashindano hayo hatimaye kurejesha kombe
hilo la dunia na kuwataka wadau mbalimbali kushirikiana na Serikali
katika kuwatia moyo na kuwasaidia ili washinde.

Akizungumzia
jinsi timu ilivyopambana hadi kufika hapo amesema kuwa timu ilianza
kuchabanga Botswana magoli 11-0, ikaitandika Burundi jumla ya magoli
6-1, na ikamalizia na kuibamiza timu ya Cameroon jumla ya magoli 5-1.

Kwa
upande wa Warriors amesema iliishindilia Cameroon mabao 5-0, kabla ya
kuikandamiza Senegal goli 1-0 na kuichakaza Morroco magoli 2-0.

Ameongeza
kuwa dhamira ya Serikali ni kuendelea kufanya mapinduzi makubwa katika
sekta za michezo na Sanaa ili kuipeleka Tanzania kimataifa ambapo
amefafanua kuwa kuanzia Februari mwaka huu timu zote za taifa
zinazoshiriki kwenya mashindano ya kimataifa zimewekwa kambini na
zinagharimiwa na Serikali.

upande wake Nahodha wa timu hiyo Noela Luhala alipewa heshima ya
kuzungumza mbele ya Bunge tukufu ambapo amesisitiza kuwa kama ilivyo kwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano. Mhe, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa
mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini ni ndoto za muda mrefu kwa timu hiyo
kuwa ya kwanza kuingia mashindano ya Kombe la Dunia na kuwa Timu ya
kwanza kulileta kombe hilo nchini.

Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania. Mhe Tulia Ackson ameipongeza timu hiyo
kwa niaba ya bunge zima na kuwataka kurejea na kombe hiyo kwenye
mashindano hayo.