Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA NEMC YATOA NENO KWA MAAFISA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa,akizungumza wakati wa warsha ya maafisa mazingira wa mikoa, wilaya na Halmashauri zote nchini wenye lengo la kubadilishana uzoefu na kukumbushana kuhusu suala la utunzaji mazingira na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kuelekea kilele cha Siku ya Mazingira duniani kitakachofanyika Juni 5, Mwaka huu jijini Dodoma.

Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) Kanda ya kati, Dk.Franklin Rwezimula,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa warsha ya maafisa mazingira wa mikoa, wilaya na Halmashauri zote nchini wenye lengo la kubadilishana uzoefu na kukumbushana kuhusu suala la utunzaji mazingira na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kuelekea kilele cha Siku ya Mazingira duniani kitakachofanyika Juni 5, Mwaka huu jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mda mbalimbali wakati wa warsha ya maafisa mazingira wa mikoa, wilaya na Halmashauri zote nchini yenye lengo la kubadilishana uzoefu na kukumbushana kuhusu suala la utunzaji mazingira na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kuelekea kilele cha Siku ya Mazingira duniani kitakachofanyika Juni 5, Mwaka huu jijini Dodoma.

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  warsha ya maafisa mazingira wa mikoa, wilaya na Halmashauri zote nchini wenye lengo la kubadilishana uzoefu na kukumbushana kuhusu suala la utunzaji mazingira na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kuelekea kilele cha Siku ya Mazingira duniani kitakachofanyika Juni 5, Mwaka huu jijini Dodoma.

…………………………….

Na Bolgas Odilo -DODOMA

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewataka Maafisa Mazingira nchini kutunza na kuhifadhi nyanzo vya maji lengo likiwa ni kutunza mazingira kwa vitendo.

Akiwasilisha mada leo Juni 6,2022 jijini Dodoma wakati wa warsha ya Maafisa Mazingira  wa Mikoa,Wilaya na Halmashauri zote nchini ,Meneja wa NEMC, Kanda ya Kati, Dk.Franklin Rwezimula, amesema kuwa maeneo mengi ya vyanzo vya maji nchini yamekumbwa na tatizo la uvamizi wa wafugaji na wakulima wakitafuta maji kwa ajili ya kunywesha mifugo na kilimo.

Dk.Rwezimula, amesema katika warsha hiyo watajadiliana mambo mbalimbali ikiwemo Sera ya Mazingira ya mwaka 2021 ambapo NEMC  watawasilisha mada mbalimbali.

‘Licha ya kuwapo na Sheria za usimamizi wa vyanzo vya maji (Bahari, Maziwa, Mito, Mabwawa na Chemichemi), kumekuwapo na uharibifu mkubwa wa vyanzo vya maji kutokana na shughuli za binadamu zinazofanyika bila kuzingatia Sheria zinazosimamia mazingira na rasilimali maji.’

Amesema kuwa  NEMC pamoja na Maofisa hao wamejipanga kwenye utekelezaji wa majukumu yao kusimamia Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021.

“Tutakuwa na mada za kuwasilisha ikiwemo uharibifu na utunzaji wa vyanzo vya maji ambapo ni utekelezaji wa Dera za Mazingira pamoja  na Sheria  ya Mazingira ya mwaka 2014 lakini ni utekelezaji wa maagizo aliyotoa Makamu wa Rais Dk.Philip Mpango  wakati anazindua sera ya Mazingira tarehe  12 mwezi wa pili,”amesema

Amesema NEMC wamejiandaa  na baadae kupitia kikao hicho watatoka na mkakati wa pamoja ya jinsi ya kutunza mazingira kwani utunzaji wa vyanzo vya maji ni muhimu.

“Vyanzo vya maji  vina umuhimu mkubwa mojawapo ni katika  umeme na matumizi ya nyumbani na kilimo pamoja na  mashambani, bila maji hakuna maendeleo ili tuwe na maendeleo  endelevu ni lazima tuwe na maji safi na salama,”amesema.

Hata hivyo amewakaribisha wakazi wa Dodoma kufika katika banda la NEMC lilopo katika viwanja wa Jakaya Kikwete ambapo hapo watapatiwa elimu jinsi ya kutunza mazingira.

Naye, Ofisa Mazingira kutoka Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, Bakari Bakari, amesema kuwa wapo tayari kuhakikisha mazingira na vyanzo vya maji vinatunzwa kwa kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu za nchi.

“Kwani mazingira ni jambo mtambuka.Tupo bega kwa bega kuhakikisha mazingira yanatunzwa kama Mkoa wa Kigoma ambao una  Wilaya 8 tupo bega kwa bega na  Rais Samia ikiwa ni kuhakikisha kila kitu kinaenda vizuri,” amesema.

Awali, akifungua mkutano huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, ametaka maendeleo ya watu lazima yaendane na utunzaji mazingira nchini.

“Ni lazima tupeleke uelewa kwa wananchi ili na wao wajue kuwa suala hilo la utunzaji mazingira ni la kila mtu, si la Ofisa Mazingira mwenyewe na kuwa na mikakati endelevu itakayoendana na maendeleo na uchumi wa nchi, hivyo lazima tuwe na mikakati ya kutoa elimu ka umma ili liwe jambo la watanzania,”amesema Bashungwa

About the author

Alex Sonna