Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:KATIBU MKUU MAGANGA AONGOZA KIKAO CHA WADAU

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao na Wadau wa Maendeleo wa Mazingira ikiwa ni sehemu ya Wiki ya Mazingira  jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Faraja Ngerageza akiwasilisha mada kuhusu vipaumbele vya Ofisi ya Makamu wa Rais katika masuala ya mazingira wakati wa Kikao na Wadau wa Maendeleo wa Mazingira sehemu ya Wiki ya Mazingirajijini Dodoma.

Afisa Mazingira Mwandamizi Bw. Thomas Chali akiwapitisha washiriki katika dondoo za Sera ya Taifa ya Mazingira yam waka 2021 wakati wa a Rais katika masuala ya mazingira wakati wa wa Kikao na Wadau wa Maendeleo wa Mazingira sehemu ya Wiki ya Mazingira jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na viongozi wengine wakifuatilia uwasilisha wa mada wakati wa Kikao na Wadau wa Maendeleo wa Mazingira sehemu ya Wiki ya Mazingira  jijini Dodoma.

Washiriki wakifuatilia Kikao na Wadau wa Maendeleo wa Mazingira sehemu ya Wiki ya Mazingira jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

About the author

mzalendoeditor