Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Written by Alex Sonna

    
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amefungua Semina Elekezi kwa Mawaziri na Naibu Mawaziri inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Tarehe 01 Desemba 2025.

Kauli mbiu ya Semina hiyo ni “Nafasi na Wajibu wa Mawaziri katika Utumishi wa Umma na kufikiwa kwa Malengo ya Dira ya Taifa 2050 na Ilani ya Uchaguzi 2025”.

About the author

Alex Sonna