Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KUHUSU UTEKELEZAJI WA WA ELIMU MSINGI YA LAZIMA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza  Kikao cha Kazi cha Mawaziri  na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu  na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu  Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi  ya Lazima kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 10, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna