marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

setrabet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

royalbet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA MINARA 758 KUIMARISHA UCHUMI WA KIDIJITALI NCHINI

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Angellah Kairuki pamoja na aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hiyo, Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Nnauye kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026. Rais Dkt. Samia alipewa zawadi hiyo kutokana na kutambua mchango wake kwenye Sekta hiyo ya Mawasiliano.

Na.Alex Sonna-Mzalendo blog-DODOMA

WANANCHI zaidi milioni 8.5 hususan wanaoishi Vijijini na mipakani wanatarajiwa kuondolewa changamoto ya mtandao, baada ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kuzindua minara 758 na maunganisho ya mkongo wa mawasiliano katika wilaya 85 pamoja na kukabidhi mkongo wa mawasiliano serikalini  iliyojengwa katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza katika hafla hiyo leo  leo  Aprili 10, 2026 jijini Dodoma,Rais Samia  amesema uwekezaji huo umetokana na ushirikiano kati ya Serikali na wadau wa sekta ya mawasiliano ili kuhakikisha huduma za mawasiliano zinawafikia wananchi kwa ubora unaokidhi mahitaji ya teknolojia ya kisasa na kwa gharama nafuu.

Amesema kukamilika kwa ujenzi wa minara hiyo kutachochea ushiriki wa wananchi katika uchumi wa kidijitali na kufungua fursa mpya za ajira, kuboresha utoaji wa huduma za kijamii na kuharakisha maendeleo ya Taifa.

“Mawasiliano si tena huduma ya anasa kama ilivyokuwa zamani. Leo hii ni uti wa mgongo wa uchumi wa kisasa na daraja la fursa kwa wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo,” amesema.

Aidha Rais Samia  amezitaka halmashauri zote nchini kuondoa urasimu katika utoaji wa vibali vya miradi ya mawasiliano ili kuharakisha utekelezaji wake, akibainisha kuwa ucheleweshaji huongeza gharama na kuchelewesha huduma kwa wananchi.

 Rais Samia amesisitiza kuwa mawasiliano sasa ni nguzo muhimu ya uchumi wa kisasa, uwekezaji na utoaji wa huduma za kijamii, hivyo yanahitaji kupewa kipaumbele katika ngazi zote.

Hata hivyo  Rais Samia pia ameiagiza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha maeneo yote ambayo bado hayajafikiwa na Mkongo wa Taifa yanaunganishwa kwa wakati, huku akisisitiza umuhimu wa kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo ili kuendana na mahitaji ya sasa ya teknolojia.

Ameitaka sekta husika kuhakikisha huduma zinazotolewa kupitia miundombinu hiyo zinazingatia maadili, mila na utamaduni wa Mtanzania, ili kulinda utambulisho wa taifa katika enzi hii ya utandawazi.

Rais Samia ameongeza kuwa uwekezaji katika sekta ya Tehama ni muhimu kwa mustakabali wa uchumi wa taifa,hasa katika kuongeza ajira kwa vijana na kuimarisha huduma za kidigitali katika sekta mbalimbali.

“Tutatenga fedha maalum zitakazowezesha Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kuzipatia mitaji kampuni changa za vijana (startups) ili ziweze kukua zaidi”amesema Rais Samia

Kwa upande wake Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Jasmine Kairuki, amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha inakuwa kichocheo kikuu cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

 Waziri Kairuki amemshukuru Rais Samia kwa uongozi wake thabiti na mchango mkubwa katika kuendeleza sekta ya mawasiliano, akibainisha kuwa mafanikio yaliyopatikana ni matokeo ya maelekezo na usimamizi wake wa karibu. 

 “Sekta ya mawasiliano ni mhimili muhimu unaowezesha sekta nyingine kama afya, elimu, kilimo na biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Alibainisha kuwa katika kipindi cha miaka michache iliyopita, kumekuwa na ongezeko kubwa la watumiaji wa huduma za mawasiliano, intaneti na huduma za kifedha kidijitali, hatua inayoonesha kukua kwa kasi kwa uchumi wa kidijitali nchini.”amesema Waziri Kairuki

Aidha, amesisitiza kuwa Wizara inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ikiwemo Mkakati wa Uchumi wa Kidijitali na Mkakati wa Taifa wa Mtandao wa Kasi, huku akiahidi kuendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi mipya ikiwemo ujenzi wa minara zaidi na upanuzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.

Ameongeza kuwa lengo kuu ni kuhakikisha huduma za mawasiliano zinapatikana kwa wananchi wote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu ili kuchochea ajira, ubunifu na ushindani wa kimataifa.

Awali Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda, amesema kuwa mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2023 na umegharimu shilingi bilioni 126,ambapo bilioni 55 ni mkopo kutoka Benki ya Dunia  kupitia mradi wa Tanzania ya Kidigitali na bilioni 71 ni fedha za ndani kupitia UCSAF.

“Mradiu huo umetekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali kupitia UCSAF na kampuni za simu nchini,ambapo ruzuku ya serikali imetumika kuchochea uwekekezaji katika maeneo yasiyo na mvuto wa kibiashara ili kuhakikisha wananchi wengi zaidi wanapata huduma  bora za Mawasiliano”amesema Mhandisi Mwasalyanda

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla akisaini Hati ya Makabidhiano kati ya Serikali na Umoja wa Watoa Huduma za Mawasiliano uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yas Tanzania Bw. Pierre Canton-Bacara (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Charles Kamoto wa kwanza (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Miundombinu ya Mtandao wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Andrew Lupembe katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Angellah Kairuki pamoja na aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hiyo, Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Nnauye kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026. Rais Dkt. Samia alipewa zawadi hiyo kutokana na kutambua mchango wake kwenye Sekta hiyo ya Mawasiliano.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Yas Tanzania Bw. Pierre Canton-Bacara kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Miundombinu ya Mtandao kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Andrew Lupembe kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 202

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Charles Kamoto kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) CPA. Moremi Marwa kwenye hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.

About the author

Alex Sonna