Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA KATIBU MKUU IPU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Ndugu Martin Chungong, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Ndugu Martin Chungong, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

About the author

Alex Sonna