Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

betsmove, betsmove giriş

nakitbahis, nakitbahis giriş

perabet, perabet giriş

matbet, matbet giriş

belugabahis

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

casibom, casibom giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

tümbet

hititbet giriş

ultrabet

madridbet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

hititbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Cratosroyalbet

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet

holiganbet

jojobet

meritking

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet giriş

cratosroyalbet

betpark

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

casibom giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

grandpashabet

holiganbet

holiganbet

1win

radissonbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

betgit

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

madridbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

betpark

casibom

marsbahis

betpark

runtobet

runtobet giriş

Featured Kitaifa

TANZANIA NA HUNGARY KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMAENDELEO

Written by Alex Sonna
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akiteta jambo na Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth (Katikati), baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Tanzania, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Kushoto ni Mtaalamu wa Miradi ya Maji, Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara ya Hungary, Bw. Szabolcs Nagy.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia), akimkabidhi zawadi Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Tanzania, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza jambo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth (hayupo pichani), katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo aliishukuru Serikali ya Hungary kwa mchango wake mkubwa katika kukuza uhusiano wake na Tanzania, na pia kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii.
Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth, akizungumza jambo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (hayupo pichani), katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadiliana kuimarisha zaidi ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Tanzania, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban na Kaimu Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera, Dkt. Remidius Ruhinduka, wakifuatilia mazungumzo ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth (hawapo pichani), walipokutana katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadiliana kuimarisha zaidi ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Tanzania, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii.

PIX 6

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati), Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth (wa tano kushoto), Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wa tano kulia), Kaimu Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera, Dkt. Remidius Ruhinduka (wa tatu kushoto), Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade (wa nne kulia), Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Melkizedeck Mbise (wa tatu kulia), Kamishna Msaidizi Idara ya Uchambuzi wa Sera, Bw. William Mhoja (kushoto), Mtaalamu wa Miradi ya Maji, Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara ya Hungary, Bw. Szabolcs Nagy (wa nne kushoto) na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha, na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukutana na kufanya mazungumzo, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, kuhusu kuimarisha zaidi ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Hungary, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

Na Joseph Mahumi na Jordan Mbwambo, WF Dodoma

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza hatua ya Hungary kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi na Tanzania, hasa kupitia utekelezaji wa miradi ya maji na maendeleo ya kijamii.
Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, alipokutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Hungary Nchini, Mhe. David Tòth, katika Ofisi za Wizara ya Fedha, jijini Dodoma.
Dkt. Mwamba aliishukuru Serikali ya Hungary kwa mchango wake mkubwa katika kukuza uhusiano wake na Tanzania, hasa kwa hatua ya hivi karibuni ya kufungua Ofisi ya Kidiplomasia jijini Dar es Salaam ambayo ni ishara ya dhamira ya dhati ya nchi hiyo katika kuimarisha uhusiano na Tanzania.
Aliongeza kuwa Serikali ya Tanzania inaithamini sana dhamira ya Hungary katika kufadhili miradi ya maendeleo ikiwemo Mradi wa Maji wa Biharamulo katika Mkoa wa Kagera, unaoendana kikamilifu na vipaumbele vya maendeleo ya Taifa vilivyoainishwa katika Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2021/22–2025/26) pamoja na Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050.
“Utekelezaji wa mradi huu utaboresha huduma za maji safi kwa wananchi wa Biharamulo na maeneo jirani, na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii,” alisisitiza Dkt. Mwamba.
Vilevile, Dkt. Mwamba alihimiza upanuzi wa mfumo wa ushirikiano wa kifedha kati ya Tanzania na Hungary ili kuhusisha pia misaada ya ruzuku (grant) kwa miradi ya kijamii na kiuchumi.
“Tunaishukuru Hungary kwa mikopo nafuu, na mfumo wa ushirikiano wa sasa kati ya nchi zetu umejikita zaidi katika mikopo nafuu, huku ukiwa na nafasi ndogo ya ufadhili wa ruzuku tungependa kuona upanuzi wa mfumo huu ili kujumuisha pia misaada ya ruzuku katika sekta muhimu za kipaumbele, ikiwemo huduma za jamii, miundombinu, na miradi ya kukuza uchumi, ambao utaimarisha zaidi uhusiano kati ya nchi zetu na kuongeza uwezo wake wa kuleta manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili” alisema Dkt. Mwamba.
Kwa upande wake, Mhe. David Toth, alieleza dhamira ya Serikali ya Hungary ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania, akisisitiza kuwa mradi wa maji wa Biharamulo ni mfano wa ushirikiano wa kimaendeleo unaolenga kuboresha maisha ya wananchi moja kwa moja.
“Hungary inaiona Tanzania kama mshirika muhimu wa maendeleo barani Afrika, na tumejizatiti kuunga mkono miradi inayogusa maisha ya wananchi, ikiwemo mradi huu wa maji wa Biharamulo ambao utaongeza upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi wa Kagera,” alisema Mhe. Toth.
Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, Kaimu Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera, Dkt. Remidius Ruhinduka, Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade, Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Melkizedeck Mbise, Mtaalamu wa Miradi ya Maji, Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara ya Hungary, Bw. Szabolcs Nagy na Maafisa wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha, na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

About the author

Alex Sonna