Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

smartbahis

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA: JENISTA ALIVAA KOFIA NZITO ZA UONGOZI KWA UFANISI MKUBWA

Written by Alex Sonna

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema marehemu Jenista Mhagama alikuwa kiongozi jasiri, mwenye nidhamu na uadilifu wa hali ya juu, ambaye alijitoa kwa dhati kuwatumikia wananchi wa jimbo la Peramiho na taifa kwa ujumla.

Akizungumza leo wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, Rais amesema marehemu alikuwa mlezi wa wengi ndani ya Bunge na Serikali, akisimama imara kutetea haki, maendeleo na ustawi wa watu aliowaongoza.
Rais Samia ameeleza kuwa Jenista Mhagama alikuwa nguzo ya matumaini kwa wanawake na vijana, na mfano wa uongozi uliotawaliwa na nidhamu, uadilifu na hofu ya Mungu.
Amesema kupitia ibada hiyo, amepata fursa ya kuyafahamu kwa undani maisha ya kiroho na kidini ya marehemu, tofauti na alivyozoea kumfahamu zaidi kupitia majukumu yake serikalini na ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Marehemu Jenista alikuwa mwalimu kwa taaluma, na alitumia kipawa chake cha ualimu kulea viongozi wengi. Aliwahi kuwa Katibu wa Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa Bunge,” amesema huku akisisitiza;
Wabunge na mawaziri walimheshimu sana, na katika nafasi hizo ametoa mchango mkubwa kwa wabunge, chama na Baraza la Mawaziri,” amesema Rais Samia.
Ameongeza kuwa marehemu alikuwa mtu pekee aliyewahi kuvaa kofia mbili kwa wakati mmoja, yaani Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CCM na Mnadhimu wa Serikali Bungeni, na aliweza kuzibeba kwa ufanisi mkubwa.
Rais Samia amesema Jenista Mhagama alikuwa kiongozi asiye na mzaha katika kazi, lakini mcheshi, mtii kwa mamlaka, chama chake na wananchi wake, huku akiwa mnyenyekevu mbele za Mungu.
Amesema alipata fursa ya kufanya kazi chini ya Serikali yake katika nafasi mbalimbali ikiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma na Utawala Bora) pamoja na Waziri wa Afya.
“Nilimpa jina la ‘kiraka’ kwa sababu kila nilipomuweka, aliziba vizuri. Alikuwa kiongozi anayejali maslahi ya wengi bila ubaguzi na bila kujali changamoto,” amesema Rais Samia.
Amesema kupitia sauti yake bungeni, vitendo vyake katika jamii na msimamo wake katika uongozi, marehemu ameacha kumbukumbu njema na ameandika hadithi nzuri ya maisha yake ya utumishi.
Rais Samia amewataka wabunge na mawaziri, hususan wale wapya, kufuata nyayo za marehemu kwa kudumisha mshikamano bila kujali tofauti za kisiasa, kufanya mijadala ya kistaarabu inayolinda heshima ya Bunge, na kutimiza wajibu wao kwa uadilifu.
“Safari ya uongozi wa Jenista haikuwa rahisi, lakini aliitendea kwa ujasiri, hekima na heshima. Leo tunapomuaga, tunabaki na kumbukumbu ya tabasamu lake. Tutamkosa sana, kwa sababu tumepoteza mtu muhimu sana kwa taifa letu,” amesema.
Rais Samia ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa marehemu, Spika wa Bunge, wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na Jimbo la Peramiho, akisema taifa lote lipo pamoja nao katika kipindi hiki kigumu. Ameomba Mwenyezi Mungu awape faraja, nguvu na amani.
“Mdogo wangu Jenista, umetimiza wajibu wako ipasavyo na umepigana vita vilivyokupasa. Mwenyezi Mungu akupe safari ya kheri na ailaze roho yako mahali pema peponi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amina.” ameeleza.

About the author

Alex Sonna