Featured Kitaifa

DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Written by Alex Sonna

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya Maadili kwa viongozi wa Umma, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jijini Dodoma.

Akizungumza na watendaji hao, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa yapo maeneo ambayo bado rushwa imekidhiri lakini watumishi wake hawatambuliki kama sehemu ya viongozi kwa majukumu yao. “Ni muhimu kufanya mapitio ya haraka ya tamko ili nao waweze kujumuishwa”

About the author

Alex Sonna