marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU:VIJANA WABUNIFU NDIYO WENYE HATMA YA TANZANIA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza wakati alipofunga maadhimisho ya wiki ya kampuni changa za Kiteknolojia, iliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam, Disemba 03, 2025

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la uchumi wa kati wa dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050 na watakaofanikisha jambo hilo ni sekta binafsi ikiwemo wenye wabunifu kutoka kwenye kampuni changa.

“Mtakumbuka kuwa Julai, mwaka huu Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua DIRA 2050. Dira hii si ya Serikali peke yake bali ni kielelezo cha matarajio ya Watanzania ambao wanataka nchi yao ifikie uchumi wa kati wa dola za Marekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Injini ya kuendesha nchi kuelekea maono haya ni sekta binafsi zikiwemo kampuni changa zinazoanzishwa,” amesema.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Desemba 03, 2025) wakati akifunga maadhimisho ya Wiki ya Kampuni Changa za Teknolojia (start-ups) kwenye ukumbi wa PSSSF, Makumbusho, jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu ambaye alikuwa akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kazi ya kufikisha lengo siyo ndogo na inahitaji mabadiliko ya kiutendaji na kimtazamo. “Hatuwezi kufikia uchumi wa dola trilioni moja kwa kuendelea kuuza bidhaa ghafi au kufanya mabadiliko kidogo tu. Inatutaka tuwe na mbinu bunifu zenye tija: tuwe na njia mipya za kufanya mambo, tuanzishe makampuni mapya, tuwe na bidhaa mpya na teknolojia mpya zinazoweza kukua mara 10 badala ya asilimia 10.”

“Inahitaji tuje na ubunifu wa Kitanzania utakaovutia mataifa na kuzalisha masoko ya nje. Inawezekana kabisa, twendeni tuunganishe nguvu,” amesisitiza.

Amesema vijana waliochukua hatua ya kuanzisha kampuni changa wao ndiyo wenye hatma ya Tanzania na kwambo njia hiyo ndiyo sahihi ya kutenda kwa njia mbadala. “Nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na changamoto ya vijana kutojiamini. Lakini wapo wengi ambao wametoa ajira kwa vijana wenzao. Na hii ndiyo njia sahihi ya kufanya mambo kwa njia mbadala kama ambavyo wenzeyu wamefanya.”

Amewataka Watanzania waiheshimu sekta binafsi kama wanavyoiheshimu sekta ya umma kwa kuanza kubadilisha mtazamo wao ikiwemo nidhamu ya utendaji kazi. “Kwa mazingira ya sasa, hakuna nchi imeweza kujenga uchumi mkubwa bila kuishirikisha sekta binafsi. Hiki mnachokifanya ndiyo injini ya kukuza uchumi,” amesema.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa maadhimisho hayo, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Anjela Kairuki alisema Serikali imeendelea kuboresha mazingira ya kampuni changa ambapo hadi sasa kampuni changa za Kitanzania zinakadiriwa kufikia 1,041 na kuzalisha ajira zaidi ya 140,000.

Alisema hadi kufikia mwaka 2024, kampuni hizo zilikuwa zimeingiza mapato ya dola za Marekani milioni 96.4 na kwamba hadi kufikia sasa zimekwishafikisha mapato ya dola za Marekani milioni 300.

Alisema kampuni nyingi zinazochipukia zimejielekeza kwenye matumizi ya teknolojia za huduma za kifedha, kilimo, afya, elimu na kwamba bado wanatarajia kuwa na bunifu nyingi za kidijitali.

   

About the author

Alex Sonna