Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

casibom güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet giriş

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

casibom

kavbet

mavibet

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

lunabet

mislibet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

onwin

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino giriş

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

Meritking

nerobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

grandpashabet

tipobet

meritking

artemisbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

monobahis, monobahis giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

dinamobet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

pusulabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

casinoroyal

casinomilyon

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

bahiscom

Hacklink panel

jojobet

holiganbet

Google

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

artemisbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

türk ifşa

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

jojobet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet güncel

Featured Kitaifa

WATUMISHI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by Alex Sonna

📌 Ni sehemu ya ushirikishwaji Taasisi za Umma katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia.

📌 Watumishi watakiwa kuwa Mabalozi wa kuhamasisha Nishati Safi ya Kupikia.

Katika jitihada za kuimarisha utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Wizara ya Nishati kupitia kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia kimetoa mafunzo kwa watumishi 133 wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Akiwasilisha taarifa ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya nishati safi ya kupikia, Mhandisi Anitha Ringia kutoka Wizara ya Nishati ameeleza kuwa mafunzo hayo yamelenga kuongeza uelewa juu ya faida za nishati safi, ikiwemo kupunguza athari za kiafya na kimazingira zinazotokana na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia huku akiwaeleza Watumishi kuwa matumizi ya nishati safi ni sehemu ya ajenda ya kitaifa ya kulinda mazingira na kuboresha ustawi wa wananchi.

“Mafunzo haya yanaonesha dhamira ya Serikali katika kuhakikisha Taasisi za Umma zinakuwa mfano wa kuigwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na kupitia ninyi watumishi mtafanya uhamasishaji utakaoleta mwamko mpana zaidi kitaifa katika matumizi ya nishati safi na hatimaye kupunguza utegemezi wa nishati zisizo rafiki kwa mazingira.” Amesema Ringia

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha nishati safi inapatikana kwa urahisi, na inawanufaisha Watanzania wote ili kuhakikisha ifikapo 2034 asilimia 80% ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia.

Aidha Kupitia mafunzo hayo Mha. Ringia ametoa wito kwa watumishi wote wa umma kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia huku akiwahimiza kutumia uelewa walioupata kuwa mabalozi katika maeneo yao ya kazi na jamii wanazoishi.

Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Nishati Bi. Neema Mbuja ameeleza kuwa kupitia Mkakati wa Taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia wa Mwaka 2024 uliundwa Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano wa Nishati Safi ya Kupikia lengo likiwa ni kuongeza uelewa wa umma na taasisi kuhusu umuhimu wa kutumia nishati safi ya kupika ili kufanikisha malengo ya Taifa ya kuhakikisha wananchi wanapika kwa kutumia nishati safi, salama na rafiki wa mazingira.

” Mkakati wa mawasiliano umetokana na Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na lengo lake ni kutoa elimu na kuwawezesha watanzania kupata taarifa sahihi juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, elimu hii wanaipata kupitia njia mbalimbali ikiwemo redio, televisheni, mitandao ya kijamii na maonyesho ya wazi, pia kupitia mkakati huu tumeendelea kuhamasisha umma na kufanya kampeni mbalimbali sambamba na kauli mbiu isemayo Nishati Safi ya Kupikia Okoa Maisha na Mazingira.” Amesema Bi. Mbuja

Aidha Bi. Mbuja ameongezea kuwa Mkakati wa Mawasiliano umelenga kufikisha ujumbe kwa jamii kupitia vyombo vya habari, mikutano ya hadhara na mafunzo mbalimbali lakini pia kushirikisha kila mtanzania kulingana na rika na nafasi ya kila mtu mmojammoja kwa lengo la kuhakikisha ujumbe uliokusudiwa unawafikia Watanzania wote.

Naye Mhandisi Mwandamizi wa Utafiti kutoka Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO) Mha. Catherine Mwegoha ameeleza kuwa TANESCO imeendelea kutoa elimu juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia hususani nishati ya umeme kwani ni salama na nafuu kwa watumiaji  hususani kwa kutumia majiko kama “Pressure Cooker” na “Induction cooker” (Jiko Janja ) kwani majiko haya yamefanyiwa utafiti na hupika vyakula vya asili kama vile ugali maharage makande na ndizi kwa kutumia umeme kidogo ukilinganisha na majiko mengine.

Akifunga Mafunzo hayo Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – UTUMISHI ambaye ni Mkurugenzi wa uendelezaji Sera wa Ofisi hiyo Bw. Cyrus Kapinga amesisitiza kuwa ushiriki wao ni muhimu katika kuongeza kasi ya matumizi ya teknolojia bora na rafiki kwa mazingira kwa kuendelea kuchangia juhudi za Serikali katika kupunguza hewa ukaa na kulinda afya za wananchi.

“Sisi kama watumishi wa Umma ni sehemu ya jamii tunaopaswa kuhakikisha tunatekeza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwani kila Wizara ina jukumu la kuhakikisha watumishi wanatumia nishati safi hivyo katika kutekeleza hilo tutaanzisha mkakati wa ndani wa namna tutakavyopata majiko ya positive cooker kama Taasisi na kuhakikisha kila Mtumishi anapatiwa jiko hilo ili kila Mtumishi aweze kuendana na mabadiliko hayo.”Amesisitiza Bw. Kapinga

Katika mafunzo hayo Watumishi walipata fursa ya kuona namna jiko janja (Induction Cooker) linavofanya kazi kwa ufaisi na kuokoa muda bila kutumia gharama kubwa.

About the author

Alex Sonna