marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

jupiterbahis

Featured Kitaifa

MAVUNDE ATAJA MPANGO WA KURUDISHA HESHIMA YA MADINI YA TANZANITE KATIKA MASOKO YA DUNIA

Written by Alex Sonna

📍Mirerani, Simanjiro

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali imejipanga upya kuitangaza na kuiinua Tanzanite kimataifa kupitia mkakati wa kurejesha hadhi ya jiwe hilo adimu duniani.

Akizungumza katika mkutano na wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ya vito katika eneo tengefu la ukuta wa Magufuli, Mirerani mkoani Manyara, Waziri Mavunde amesema hatua hiyo inalenga kurejesha hadhi na uhitaji (rebranding )wa Tanzanite ili kuimarisha thamani na soko lake duniani.

Katika Mkutano huo ambao pia ulihusisha hafla ya kukabidhi leseni kwa wanufaika 423, Waziri Mavunde amesema Serikali imedhamiria kurejesha minada ya madini ya vito kama njia ya kuongeza uwazi, ushindani na thamani ya madini ya vito nchini.

Akifafanua zaidi, amesema Serikali inaendelea kukamilisha ujenzi wa Tanzanite Exchange Centre (TEC), jengo ambalo hadi sasa limefikia asilimia 98 ya ujenzi katika ghorofa mbili na kumtaka mkandarasi kuongeza kasi ili kituo hicho kianze kufanya kazi mapema na kutumika kama kitovu cha kimataifa cha biashara ya Tanzanite.

“Tunataka wageni wanaokuja kununua Tanzanite wapate huduma zote muhimu katika eneo moja, kuanzia huduma za kibenki, hoteli, hadi miundombinu rafiki ya biashara,” amesema Mavunde.

Pia, Waziri Mavunde amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali, inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuona Mirerani, Arusha na maeneo mengine nchini yanakuwa kitovu cha biashara ya madini ya vito barani Afrika.

“Rais Samia anataka kuona ‘ mfumo wa biashara ya madini ya vito kama ilivyo Hong Kong na Dubai ikihama na kuja hapa Simanjiro,” amesema.

Akitaja changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo, Waziri Mavunde amesema Serikali inafanya mazungumzo na Wizara ya Fedha kuwezesha upatikanaji wa mitaji kupitia mifuko ya dhamana ili kuwawezesha vijana, wanawake na wachimbaji wadogo kuimarisha shughuli zao. Aidha, amesema Serikali imenunua mitambo 15 ya uchorongaji kwa ajili ya kuwasaidia wachimbaji hao kuongeza uzalishaji.

Katika taarifa ya mapato ya Serikali, Mavunde amesema sekta ya madini imeendelea kuwa nguzo muhimu ya uchumi, ambapo mwaka jana kwa mara ya kwanza iliingiza katika mfuko mkuu wa Serikali kiasi cha Shilingi trilioni moja. Mwaka huu wa fedha 2025/2026, sekta hiyo imepangiwa kukusanya Shilingi trilioni 1.2, na hadi sasa zaidi ya shilingi bilioni 500 tayari zimekusanywa.

Aidha, Waziri Mavunde amesema bado kuna uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa Tanzanite nje ya eneo la ukuta wa Mirerani, na kwamba Serikali inaendelea kufanya utafiti wa kina ili kubainisha maeneo mapya yenye rasilimali hiyo.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mabroka Tanzania (CHAMMATA), Bw. Jeremiah Kituyo, ameahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kudhibiti utoroshaji wa Tanzanite, akisema chama hicho kitaendelea kutoa taarifa ili kuimarisha usimamizi wa madini hayo muhimu.

About the author

Alex Sonna