Featured Kitaifa

DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz alipowasili kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 13, 2025. Kushoto ni Naibu Katibu, Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt.  James Kilabuko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba akipongezwa na wabunge baada ya kuthibitishwa  na Bunge kuwa Waziri Mkuu, Novemba 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna