Featured Kitaifa

DK.TULIA AJIONDOA KINYANG’ANYIRO CHA USPIKA

Written by Alex Sonna

Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi hiyo, leo tarehe 7 Novemba 2025.

About the author

Alex Sonna