Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

VIONGOZI WA DINI KANDA YA KATI WATAKA AMANI UCHAGUZI MKUU

Written by Alex Sonna
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
VIONGOZI wa dini mbalimbali kutoka Kanda ya Kati  wamewataka Watanzania kuendelea kulinda amani ya nchi na kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, wakisisitiza kuwa amani ni tunu na urithi wa thamani unaopaswa kulindwa na kila raia.
Wito huo umetolewa leo Oktoba 25, 2025, katika Kongamano la Amani lililofanyika jijini Dodoma, likijumuisha viongozi wa dini kutoka mikoa ya Dodoma na Singida.
Katika kongamano hilo, viongozi hao walijadili mada mbalimbali kuhusu umuhimu wa kupiga kura, historia ya chaguzi nchini na wajibu wa kila raia kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akitoa mada kuhusu umuhimu wa amani, Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kikristo Tanzania (CCT) Mkoa wa Dodoma na Askofu wa Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT), Joseph Mtolela, amesema Tanzania imeendelea kuwa kisiwa cha amani katika kipindi chote cha kampeni, na hivyo ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha hali hiyo inaendelea hadi baada ya uchaguzi.
“Siku nne zijazo nchi yetu itakuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Tumekuwa na amani katika kipindi chote cha kampeni, na tunahitaji amani hiyo siku ya uchaguzi. Tushiriki kwa wingi, tuwe makini kuangalia chama au kiongozi atakayeleta amani, utulivu na usalama wa nchi,” amesema Askofu Mtolela.
Ameongeza kuwa amani ni zawadi kutoka kwa Mungu na ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa. 
“Mungu ameturuzuku amani, ni kipaji na kipawa. Tuna kila sababu ya kuitunza na kuilinda, kwani bila amani hakuna maendeleo, wananchi hawatakuwa salama, na tutakimbia nchi yetu wenyewe,” amesisitiza.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma, Askofu Evance Chande wa Kanisa la Karmel Assemblies of God, amesema moyo wa uzalendo miongoni mwa Watanzania umeanza kupungua, na kuwataka viongozi wa dini kuungana kuhakikisha nchi inabaki salama.
 
“Sisi viongozi wa dini tuna jukumu kubwa kuhakikisha tunasimama kwenye nafasi zetu. Adui anapambana kuondoa amani, hivyo lazima tuamke, tushirikiane na Serikali, tuelimishane na hasa vijana wetu ambao mara nyingi hutumiwa vibaya. Tuwape elimu ya uzalendo na kuwaonya kutokuitumbukiza nchi kwenye migogoro,” amesema Askofu Chande.
Kwa upande wake, Sheikh wa Mkoa wa Singida, Issa Nassoro, amesema jukumu la kulinda amani liko mikononi mwa viongozi wa dini na waumini wao.
“Tatizo si sisi viongozi, bali baadhi ya waumini wetu wanaopoteza hofu ya Mungu na kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Tunapaswa kurudi kwao, kuwaonya na kuwaelimisha. Mwanzo wa moto ni cheche; tusiruhusu cheche hiyo iwake,” amesema Sheikh Nassoro.
Amesisitiza kuwa kushiriki uchaguzi ni sehemu ya kulinda amani. “Amani ni bora kuliko riziki. Jamii yoyote isiyoshiriki kupiga kura inajinyima haki ya kupata viongozi wanaokubalika, na matokeo yake ni vurugu. Ni jukumu letu kuwahamasisha watu kupiga kura kwa amani na kuchagua viongozi wenye maono ya kulinda mema ya taifa,” amesema Sheikh Nassoro.
Naye Askofu Zephania Mkuyu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dodoma Magharibi, amesema suala la amani halina uhusiano wa kisiasa bali ni la kiroho, hivyo viongozi wa dini wanapaswa kuendelea kuhubiri amani na kuombea nchi.
“Kama viongozi wa dini tutasimama katika nafasi zetu, tutaona matokeo mazuri. Amani ni nguzo ya maendeleo ya kiroho, kijamii na kiuchumi,” amesema Askofu Mkuyu.
Kwa upande wake, Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Dkt. Mustapha Rajabu, amesema raia wote wanapaswa kuwa watiifu kwa viongozi wa dini na Serikali, na kuzingatia maelekezo yao kuhusu uchaguzi.
 
“Maandamano halali ni kwenda kupiga kura. Tarehe 29 wajitokeze kwa wingi, wachague viongozi watakaoliletea taifa maendeleo. Bila amani, familia zitaathirika na miundombinu kuharibika,” amesema Sheikh Rajabu.
Aidha, Mshauri wa Mufti, Alhaji Ismail Dawood, amewataka wananchi kutokuwa na hofu bali kujitokeza kupiga kura kwa amani, akisema:“Tusihofu vurugu, twendeni tukapige kura. Naomba waumini wote wakusanyike tarehe 29 kwenda kupiga kura kwa utulivu.”
Kongamano hilo lilihitimishwa kwa wito wa pamoja kutoka kwa viongozi wa dini wote waliohudhuria, wakiahidi kuendelea kuelimisha waumini wao kuhusu kulinda amani, kudumisha umoja wa kitaifa na kushiriki uchaguzi kwa amani na utulivu.   

About the author

Alex Sonna