marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

Featured Kitaifa

TANZANIA KUBEBA SAUTI YA AFRIKA COP30, NISHATI SAFI YAPEWA KIPAUMBELE

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akifungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

Mwandishi Wetu ,Dodoma. 

Tanzania kwa nafasi yake ya Uenyekiti wa Kundi la Majadiliano la Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (AGN) itaongoza na kubeba sauti ya pamoja ya vipaumbele vya Bara la Afrika wakati wa Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30).

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, amesema hayo Jijini Dodoma Oktoba 21,2025 wakati akifungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya COP 30 utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025.

Amesema Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizindua Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 (Dira 2050) Julai 17, 2025, akiithibitisha nia ya Serikali ya kuwa na maendeleo yenye ustahimilivu wa mabadiliko ya tabiahchi na kuwa taifa lenye ustawi, jumuishi na endelevu, ambapo kila sekta ya maendeleo Nchini inatakiwa kuzingatia dhana ya  maendeleo endelevu.

“Mwaka huu COP30 ni ya kihistoria kwa  kuwa mkutano huu utafanyika katika nchi yenye historia ya kuanzishwa kwa Mkataba husika na hivyo ajenda zitakazojadiliwa zinatarajiwa kufafanua njia na hatua za haraka hususan katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi baada ya miaka 33 ya uwepo wa Mkataba. 

“Kwa Tanzania, Mkutano huu sio wa majadiliano tu bali utahusika pia katika kuongeza mashirikiano na wadau mbalimbali duniani kwa lengo la kuongeza fedha za kukabiliana  na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zitachangia katika kukuza uchumi na kuimarisha maendeleo ya Kijani Nchini.” Amesema Luhemeja.

Ameongeza katika kuhakikisha hili, Serikali imeanza kuandaa nyezo za utekelezaji vipaumbele vya Dira, na kwa sasa,  Serikali ipo katika mchakato wa kukamilisha mipango miwili muhimu ambayo ni Mchango wa tatu wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchia.

Kwa upande wake, Mshauri wa Rais katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa AGN Dkt. Richard Muyungi amesema katika mkutano wa kwanza uliofanyika mapema mwaka huu Zanzibar walikubaliana Ajenda ya nishati safi iwe agenda kubwa ya Afrika kuelekea COP30.

“Tunapopambana kuhusu mabadiliko ya tabianchi tunapaswa kuakisi hali halisi ya Afrika katika kumkomboa Mwanamke, Kijana na Mwafrika hasa kutokana na changamoto tunazozipata zinazotokana na kutokuwa na nishati safi ya kupikia pia kutokuwa na umeme.

“Umeme ni ajenda ya pili ambapo hadi kufikia 2030 asilimia kubwa wawe wanatumia umeme na mwisho ni fursa kwa vijana katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuwa vijana wengi walikuwa hawashirikishwi lakini kwa sasa tumewapa kipaumbele,” amesema Dkt. Muyungi.

Naye, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Mhandisi Ussi Khamis Debe akimwakilisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amesema asilimia kubwa ya uchumi wa Zanzibar umejikita zaidi kutokana na Uchumi wa Buluu.

Amesema Uchumi wa Buluu una maeneo mengi kwa upande wa Zanzibar kama vile Uvuvi, Kilimo, Utalii na maeneo hayo yamekuwa yakikumbwa na changamoto kutokana na mabadiliko ya tabianchi.

 

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akifungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akifungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

Mshauri wa Rais katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa AGN Dkt. Richard Muyungi,akizungumza wakati wa  Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Mhandisi Ussi Khamis Debe,akizungumza wakati wa Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati) akizungumza wakati wa Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya COP 30 kilichofanyika Dodoma Oktoba 21, 2025. Kushoto ni Mshauri wa Rais katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa AGN Dkt. Richard Muyungi na kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Mhandisi Ussi Khamis Debe.

   
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (hayupo pichani) wakati akifungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) utakaofanyika Brazil kuanzia Novemba 10 hadi 21, 2025. Kikao hicho kimefanyika leo  Oktoba 21, 2025 jijini Dodoma.

 

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Manaibu na Wawakilishi mara baada ya kufungua Kikao cha Makatibu Wakuu cha maandalizi ya COP 30 kilichofanyika Dodoma Oktoba 21, 2025.

About the author

Alex Sonna