Featured Kitaifa

MAPENZI YA WANANCHI WA BUKOBA MJINI KWA DKT. SAMIA

Written by Alex Sonna
Umati wa wananchi wa Bukoba Mjini Mkoani Kagera wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Kaitaba leo Oktoba 16, 2025. Dkt. Samia anatumia mikutano hiyo kuomba kura, kunadi Ilani ya Chama chake na kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya serikali yake ya awamu ya sita.

About the author

Alex Sonna