Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI AENDELEZA KAMPENI DODOMA KWA KUMNADI DK.SAMIA

Written by Alex Sonna

PICHA mbalimbali za mkutano wa kampeni wa Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi uliofanyika katika Kata ya Songambele,Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo Oktoba 16, 2025.

Mkutano huo wa Dkt. Nchimbi ni wa 97 tangu alipoanza kufanya mikutano ya hadhara ya kampeni ya kusaka kura za mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, kura za wagombea Ubunge na Udiwani wa chama hicho katika mikoa 24 kati ya hiyo 22 ni ya Tanzania Bara na 2 ya Zanzibar.

About the author

Alex Sonna