Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rubambangwe Chato mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasha mshumaa katika Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rubambangwe Chato mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rubambangwe Chato mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2025.