Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

MAMLKA YA ELIMU TANZANIA YAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WADAU WA SEKTA YA ELIMU

Written by Alex Sonna
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu wakifanya mazoezi ya somo la Fizikia kwa vitendo kwenye maabara iliyokarabatiwa na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA

::::::::

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeendelea kuimarisha ushirikiano na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu katika jitihada za kuboresha miundombinu ya kujifunzia na kufundishia, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu bora kwa usawa katika mazingira salama na rafiki kwa kujifunzia. 

Ushirikiano huo umeendelea kuzaa matunda kupitia miradi 48 ya ujenzi, ukarabati na umaliziaji wa miundombinu ya elimu inayotekelezwa na TEA kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF), kwa ufadhili wa Serikali ya Canada katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Songwe.

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua miradi hiyo na kuweka vibao vya ufadhili, Afisa Miradi kutoka TEA, Bi. Atugonza David, alisema amefarijika kuona miradi yote ikiwa katika hatua nzuri na tayari kwa matumizi. Alibainisha kuwa asilimia kubwa ya miradi hiyo imejikita katika umaliziaji na ukarabati wa maabara za sayansi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuongeza hamasa ya wanafunzi kupenda na kujifunza masomo ya sayansi. 

Moja ya shule zilizonufaika na miradi hiyo ni Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ambayo ilipokea takribani shilingi milioni 60 kwa ajili ya ukarabati wa maabara tatu za sayansi. 

Akizungumza kwa niaba ya shule, Mwalimu Maisha Masabile, Makamu Mkuu wa shule hiyo, alisema mradi huo umeleta mabadiliko makubwa katika ufaulu wa wanafunzi. 

“Awali hatukuwa na maabara hata moja, tulikuwa tukifanyia mazoezi ya sayansi darasani. Kupitia mradi huu, tumeweza kukarabati vyumba vitatu vya maabara na matokeo yake yamekuwa chanya. Mwaka 2024 ufaulu ulikuwa asilimia 100, huku wanafunzi 43 kati ya 150 wakisajiliwa kusoma masomo ya sayansi. Mwaka huu 2025, idadi imeongezeka hadi wanafunzi 68 kati ya 210, na wanaendelea kufanya vizuri,” alisema Mwalimu Masabile. 

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), kwa kushirikiana na UNICEF inaendelea kutekeleza miradi yenye thamani ya takribani shilingi bilioni 2.5 katika mikoa ya Tabora, Kigoma na Songwe. Miradi hiyo inalenga kuinua ubora wa elimu, kupanua wigo wa fursa za kujifunza, na kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata elimu bora bila ubaguzi.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu wakisoma kwa vitendo somo la Fizikia katika maabara iliyokarabatiwa na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA.

 

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu wakifanya mazoezi ya somo la Fizikia kwa vitendo kwenye maabara iliyokarabatiwa na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA.

 

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu wakifanya mazoezi ya somo la Fizikia kwa vitendo kwenye maabara iliyokarabatiwa na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA


Muonekano wa maabara iliyofanyiwa ukarabati na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu.


Bi Atugonza David Afisa Miradi kutoka TEA akiwa na Mwl.Maisha Masabile Makamu Mkuu wa shule ya Nyakitonto alipokuwa akikagua hali ya ukarabati wa maabara tatu za Sayansi shuleni hapo.


Mwl.Maisha Masabile Makamu Mkuu wa shule ya Nyakitonto akifafanua jambo kwa Bi Atugonza David Afisa Miradi kutoka TEA alipokuwa akikagua hali ya ukarabati wa maabara tatu za Sayansi shuleni hapo.


Bi Atugonza David Afisa Miradi kutoka TEA akiwa na Mwl.Maisha Masabile Makamu Mkuu wa shule ya Nyakitonto alipokuwa akikagua hali ya ukarabati wa maabara tatu za Sayansi shuleni hapo.


Monekano wa jengo la maabara tatu za sayansi zilizofanyiwa ukarabati na UNICEF, kwa ufadhili wa Serikali ya Canada na kusimamiwa na TEA Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu.


Monekano wa kibao cha ufadhili wa maabara tatu za sayansi Shule ya Sekondari Nyakitonto iliyopo Wilayani Kasulu.

About the author

Alex Sonna