𝙆𝙪𝙩𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙐𝙣𝙜𝙪𝙟𝙖 𝙫𝙞𝙨𝙞𝙬𝙖𝙣𝙞 𝙕𝙖𝙣𝙯𝙞𝙗𝙖𝙧
Mgombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akisaini Kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo pamoja na kumfariji Mama Siti Mwinyi pamoja na familia ya hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipofika Bweleo Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Unguja kwaajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Kaka yao Hayati Abass Ali Mwinyi, leo Ijumaa Septemba 26, 2025.