Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

MD TWANGE ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA TAZA – AAGIZA KUONGEZWA KWA KASI YA UTEKELEZAJI

Written by Alex Sonna

📌Asema njia ya kusafirisha umeme wa Msongo wa Kilovoti 400 (203 km) Tunduma -Sumbawanga umefikia zaidi ya asilimia 79.07

📌Amshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwekeza kwenye miradi ya umeme

Na Josephine Maxime, Songwe

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, ameridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Tanzania-Zambia Transmission Interconnector (TAZA), kupitia njia ya kusafirisha umeme wa Msongo wa kilovoti 400 (203 km) Tunduma Sumbawanga ambao kwa sasa umefikia zaidi ya asilimia 79.

Amesema Mradi huo unalenga kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa, na hivyo kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa maeneo hayo.

Katika ziara yake Mkoani Songwe na Mbeya Septemba 18, 2025 Bw. Twange amesisitiza umuhimu wa wakandarasi kuongeza kasi ya kazi ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati, kama ilivyopangwa katika mikataba.

“Kwanza tunamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupa fedha za kutekeleza miradi, kazi hii sio ndogo lakini maendeleo ni mazuri, kwa mfano katika njia ya kusafirisha umeme wa Msongo wa Kilovoti 400 kutoka Tunduma hadi Sumbawanga, mkandarasi amesema tayari amesimamisha nguzo 171 kati ya 497 kazi yetu ni kumsimamia amalize kwa wakati ,” alisema Bw. Twange.

Katika kituo cha kupoza umeme cha Malangali, ambacho ni miongoni mwa vituo vitano vinavyotekelezwa chini ya mradi wa TAZA, Bw. Twange alieleza kuwa maendeleo yamefikia asilimia 36. Amemtaka Mhandisi anayesimamia Mradi kuongeza usimamizi wa karibu kwa mkandarasi.

Bw. Twange ametumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya umeme, akisisitiza kuwa hatua hii inaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kukuza uchumi wa nchi kupitia sekta ya umeme.

Mbali na mradi wa njia ya kusafirisha umeme Tunduma–Sumbawanga, Mkurugenzi Mtendaji pia alitembelea Kituo cha kupoza umeme cha Iganjo kilichopo Mkoani Mbeya, pamoja na Kituo cha Nkangamo kilichopo Tunduma, mkoani Songwe, ambapo amewahakikishia wananchi kuwa TANESCO iko imara katika kutekeleza miradi na kuwahudumia wananchi.

Hii ni ziara maalumu aliyoifanya katika mikoa ya kusini ambapo licha ya kukutana na wafanyakazi wa mikoa hiyo, ametembelea vituo vya kuzalisha umeme kwa gesi asilia Mtwara 1 na 2, pamoja na Miradi mbalimbali ikiwemo Kituo cha kupoza umeme Songea – Tunduru, Kituo cha kupoza umeme Mradi wa TAZA Malangali – Sumbawanga, Kituo cha kupoza umeme Nkangamo Tunduma – Songwe, Kituo cha kupoza umeme Iganjo Mbeya pamoja na njia ya kusafirisha umeme Msongo wa Kilovoti 400(km 203) Tunduma – Sumbawanga.

About the author

Alex Sonna