Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI AWASALIMU WANANCHI WA MOMBO AKIOMBA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO KWA CCM.

Written by Alex Sonna

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia wananchi wa Mombo katika Jimbo la Korogwe Vijijini leo Septemba 15, 2025 na kuwaomba kura kwa ajili ya Wagombea wa CCM wa nafasi ya Urais, Ubunge na Madiwani ifikapo Oktoba 29, mwaka huu.
DK Nchimbi ameanza siku yake ya kwanza mkoani Tanga kufanya mikutano yake ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025.

About the author

Alex Sonna