Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

CCM WAZINDUA RASMI KAMPENI SHINYANGA MJINI

Written by Alex Sonna

 

Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini.

 

Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga – Picha na Marco Maduhu na Kadama Malunde 
 
Na Marco Maduhu,Shinyanga
 
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo, amezindua rasmi Kampeni za CCM Jimbo la Shinyanga Mjini huku akimwagia sifa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia (CCM) Patrobas Katambi,kuwa ni kijana ambaye hana Mbambamba, bali yeye ni mtu wa kazi tu na kuwaletea maendeleo wananchi wake.
 
Uzinduzi huo umefanyika leo Septemba 14,2025 katika Kata ya Ndala na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi, wana CCM pamoja na Wagombea Udiwani Kata zote 17 za Shinyanga Mjini.
 
Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni hizo, Odilia amesema Katambi ni kijana mdogo lakini mambo yake ni makubwa, ambapo ndani ya miaka mitano amelitendea haki Jimbo la Shinyanga kwa kutekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo na kuwaletea maendeleo wananchi.
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini.
 
“CCM ikiahidi inatekeleza, hivyo nawaomba wananchi endeleeni kukiamini Chama Cha Mapinduzi na siku ya Uchaguzi Oktoba 29,mpigieni kura za ndiyo Mgombea Urais,Rais Dk.Samia Suluhu Hassan,Patrobas Katambi na Wagombea udiwani wote wanaotokana na CCM,”amesema Odilia.
 
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Anold Makombe, akizungumza kwenye uzinduzi huo wa kampeni, amemuombea kura Mgombea Urais wa CCM,Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Patrobas Katambi na Madiwani wote wa CCM kuwa wao ndiyo watawaletea maendeleo ya kweli na siyo vyama vingine.
 
Naye Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amewaeleza wananchi wa Ndala baadhi ya maendeleo ambayo ameyafanya katika Jimbo hilo ndani ya miaka mitano, kuwa katika sekta ya elimu wamejenga shule mpya 10,Tano za Shule ya Msingi na Tano Sekondari, pamoja na kupanua Chuo Cha Ushirika Moshi Tawi la Shinyanga, Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, kuleta Chuo cha Madini pamoja na Cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi.
 
Kwa Upande wa Sekta ya Afya, kuwa wamejenga Zahanati mpya 9,Vituo vya Afya kikiwamo cha Ihapa,kuboresha Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga na kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa na sasa inatoa huduma za matibabu kwa wananchi.
 
Amezungumzia pia suala la miundombinu, kuwa wamejenga Madaraja ambayo yalikuwa Korofi,Makarati,Vivuko,ujenzi wa masoko, upanuzi uwanja wa ndege Ibadakuli, na sasa wapo kwenye ujenzi wa Stand Mpya ya Kisasa eneo la Kizumbi,na Barabara ya Lami kwenye Hospitali ya Mkoa Mwawaza.
 
Kuhusu Maji amesema takribani maeneo yote ya Shinyanga yanapata huduma ya maji safi na salama, huku akigusia suala la umeme kwamba kati ya vijijini 17 vya manispaa ya Shinyanga vijiji 7 ndiyo vimebaki kupata umeme.
 
Aidha amesema endapo akipata ridhaa ya wananchi wa Shinyanga kuchagua tena kuwa Mbunge wao Oktoba 29,na kumchagua Rais Samia na Madiwani wote wa CCM kwamba mvua ya maendeleo itaendelea kumiminika jimbo humo, sababu kwenye ilani ya CCM (2025-2030) imebainisha miradi mingi ya maendeleo ambayo inapaswa kutekeleza kwa wananchi.
 
Oktoba 29,2025 ni sikuya Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Madiwani,Wabunge na Rais.
 
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini.
Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akinadi sera wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Anold Makombe, akizungumza kwenye mkutano huo

About the author

Alex Sonna