marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

ibizabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

TANZANIA YAORODHESHWA KATIKA NCHI ZINAZOTAZAMIWA KUFUZU KUTOKA NCHI MASIKINI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka katika kundi la nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), uliofanyika katika ukumbi wa Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine alisema kuwa Serikali ina imani na ziara hiyo ya wataalamu wa tathmini kwa kuwa pia zoezi hilo litatoa mchango katika maendeleo ya nchi na kusaidia katika kuunda sera zitakazoifanya Tanzania kuwa imara zaidi, yenye usawa na mafanikio kwa wote.

Na. Peter Haule na Joseph Mahumi, WF, Dodoma

Tanzania imeorodheshwa na Kamati ya Sera za Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, kuwa miongoni mwa nchi zinazotazamiwa kufuzu kutoka katika kundi la nchi masikini (Least Developed Countries) kwenda nchi inayoendelea.

Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati wa Mkutano wa Awali wa tathmini ya nchi kutoka nchi maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD).

Dkt. Mwamba alisema hatua hiyo imetokana na Tanzania kupiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miongo miwili iliyopita kupitia uthabiti wa Sera za uchumi zilizosababisha kukua kwa uchumi kwa wastani wa asilimia 6.2 kati ya mwaka 2000 na 2024.

“Pato la mtu kwa mwaka limeongezeka kutoka dola za Marekani 453 mwaka 2000 hadi dola 1,277 kwa mwaka 2023, kiwango cha umasikini uliokithiri kimepungua kutoka asilimia 36 mwaka 2000 hadi asilimia 26 mwaka 2024 kutokana na utekelezaji makini wa sera za fedha na ongezeko la mikopo kwa sekta binafsi”, alisema Dkt. Mwamba.

Dkt. Mwamba alisema kuwa Mfumuko wa bei umeendelea kudhibitiwa na kubaki kwenye tarakimu moja hali iliyoimarisha uthabiti wa uchumi na kuongeza uwezo wa wananchi kukabiliana na gharama za maisha.

Alisema kuwa kumekuwa na uwekezaji wa kimkakati hususani katika miundombinu ya nishati kupitia utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere Hydropower ambao ni mradi mkubwa wa kitaifa wa ujenzi na uzalishaji wa umeme.

Alisema kuwa upo mradi wa usafiri wa abiria na mizigo kati ya Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma kupitia Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) na pia miradi ya maboresho katika sekta ya elimu na huduma za afya.

Vilevile alisema kuwa maboresho katika elimu na huduma za afya pamoja na mkazo katika viwanda na ajira yamechangia katika kufikia vigezo vinavyowezesha nchi kuondolewa kwenye kundi la nchi maskini.

Aidha, Dkt. Mwamba ameishukuru Timu ya wataalamu wa Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) ambalo limeanza hatua za awali za tathmini ya nchi kutoka nchi maskini kwenda nchi inayoendelea na kuahidi Serikali kutoa ushirikiano thabiti ili kufanikisha zoezi hilo.

Aidha, Dkt. Mwamba alisema kuwa Serikali ina imani na ziara hiyo ya wataalamu wa tathmini kwa kuwa pia itatoa mchango katika maendeleo ya nchi na kusaidia juhudi za Serikali za koboresha sera zitakazoifanya Tanzania kuwa imara zaidi, yenye usawa na mafanikio kwa wote.

Kwa upande wake Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Mhe. Shigeki Komatsubara, alisema kuwa Umoja wa Mataifa upo tayari kuisaidia Tanzania kufanikisha kwa urahisi kuwa katika uchumi wa kati.

Amesema hatua ya sasa ya tathmini ni sehemu ya ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Washirika wa Maendeleo na Tanzania.

Kwa niaba ya Umoja wa Mataifa na yeye kama mratibu wa zoezi hilo ni shirikishi litakalosikiliza sauti za watanzania wa rika zote.

Alisema maendeleo yanayotarajiwa yatafikiwa iwapo yatawashirikisha watu wote waliolengwa katika mikakati ya maendeleo.

Mkutano huo ulishirikisha wadau wa taasisi za Serikali, Sekta Binafsi, Asasi zisizo za Serikali na za Kiraia, Washirika wa Maendeleo Tanzania Bara na Zanzibar ambayo yatatumika katika kuandaa tathmini hiyo kwa njia ya mahojiano.

Zoezi la tathmini lina lengo la kusaidia nchi kujiimarisha kimuundo, kijamii na kiuchumi pamoja na kuainisha changamoto na fursa katika kipindi cha maandalizi ya kuhitimu na baada ya kuhitimu kutoka kwenye kundi la nchi masikini.


Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka katika kundi la nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), uliofanyika katika ukumbi wa Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine alisema kuwa Serikali ina imani na ziara hiyo ya wataalamu wa tathmini kwa kuwa pia zoezi hilo litatoa mchango katika maendeleo ya nchi na kusaidia katika kuunda sera zitakazoifanya Tanzania kuwa imara zaidi, yenye usawa na mafanikio kwa wote.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Mhe. Shigeki Komatsubara, akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka kundi la nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), uliofanyika katika ukumbi wa Treasury Square, jijini Dodoma.


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), wakifuatilia hotuba Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (hayupo pichani), wakati akifungua mkutnao huo, katika ukumbi wa Treasury Square, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati aliyeketi), Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Mhe. Shigeki Komatsubara (kushoto aliyeketi) na Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Sera na Utafiti ambaye pia ni Kiongozi wa Ujumbe wa Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), Bw. Junior Davis (kushoto aliyeketi), wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Makatibu Wakuu kutoka Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na Tume ya Mipango, baada ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD).

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati aliyeketi), Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Mhe. Shigeki Komatsubara (kushoto aliyeketi) na Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Sera na Utafiti ambaye pia ni Kiongozi wa Ujumbe wa Shirika la Biashara na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNCTAD), Bw. Junior Davis (kushoto aliyeketi), wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya wataalam kutoka UNCTAD, baada ya hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Awali wa Tathmini ya nchi kutoka nchi Maskini kwenda nchi inayoendelea inayofanywa na Umoja wa Mataifa (UN) kupitia Shirika lake la UNCTAD.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)

About the author

Alex Sonna